Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya kasehemu kalikojengeka ni kadogo sana hususan Nairobi pekee, huwezi kufananisha na Tz.

Huu uzi umeweka wazi maeneo mengi, vitu pekee walivyojenga wakoloni kule Kenya ni vi estate ushuzi ambavyo mpaka leo jamaa hawaendeleza, vimebaki vile vile wakati Tz tumejenga estate mpya za kisasa, ndio maana real estates in TZ ina thamani kubwa kuliko estates za kenya, Uganda na Ethiopia combined.

Ukija kwenye infrastructures kama madaraja, roads n.k huko tushawapiga gape na tunazidi kuliongeza, mana mpk sasa jamaa bado wanaongelea flyovers wkt sisi kwa sasa tunaongelea electrified train pathways 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
690 km sq nusu yake ni nairobi national park alaf robo ni misitu inayomilikiwa na wanasiasa wao alaf robo iliobakia ndio hio iliozungukwa na slums kila kona 😅😅😅😅
Screenshots_2023-09-10-22-26-11.png
 
Kuna yule jamaa wa Azam ferry, azam football, azam decoder, azam energy drink, azam Unga, azam soap,azam ice cream ,🤣🤣🤣View attachment 2745307
"Hatufatilii habari za Tanzania"
Mim mpk leo sijui tajiri wa kwanza kenya ni yupi..
Matajir kenya namjua kenyatta na yule aliekufaga tinubu sijui kinubi
 
"Hatufatilii habari za Tanzania"
Mim mpk leo sijui tajiri wa kwanza kenya ni yupi..
Matajir kenya namjua kenyatta na yule aliekufaga tinubu sijui kinubi
Kenya hukuna tajiri anaeshikilia sector nyingi ndio maana huwezi kuwaskia. Ila bongoland waarabu wame wakamata
 
Keep recycling old photos from the 90s … you keep us entertained…. Promise me to shut down your account if I google earth same places in 2023 and post latest looks including that Weird downtown photo…. Yet I can also post 2023 google earth photos of Dar is a Slum and let’s compare… after all that’s what the battle is all about.. you ready or you gonna chicken out?….🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom