Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Nchi inazidi kua tamu😍
Ndivyo magufuli alivyokuambia kabla akufe?Ni makosa makubwa kulinganisha Nairobi na DSM au Kenya na Tz,Iko hivi,Tanzania imejengwa na WA Tanzania wenyewe wakati Kenya imejengwa kwa jasho la wakoloni,Tz Iko mbali Sana,fikiria Tz tungejengewa kama wakenya walivyojengewa na mabwana zao tungekuwa mbali Sana.Wakenya wawashukuru waingerereza vinginevyo ni maskini wakutupwa.Mheshimu Sana mtu nayejenga nyumba kwa jasho lake
Mention any top 20 company in Tz utapata owner ni Mwarabu ama Mhindi, mention any top 20 comoany in Kenya utapata mwenyewe ni Mwafrika mweusi alafu bado wameshikilia eti sisi tumejengewa na Wazungu. 🤣 🤣Ndivyo magufuli alivyokuambia kabla akufe?
Enhhh ushakasirika tena 😅😅😅😅 kwani ulikua hutaki au???Asante kwa render za 2012🤣🤣🤣View attachment 2745216
Kuna yule jamaa wa Azam ferry, azam football, azam decoder, azam energy drink, azam Unga, azam soap,azam ice cream ,🤣🤣🤣Mention any top 20 company in Tz utapata owner ni Mwarabu ama Mhindi, mention any top 20 comoany in Kenya utapata mwenyewe ni Mwafrika mweusi alafu bado wameshikilia eti sisi tumejengewa na Wazungu. 🤣 🤣
Hasira zikiwapanda munaingia google munaokota picha munapist walau mupate usingizi mulale au??😅😅😅😅😅Mwanza no dormitories just dream houses🤣🤣View attachment 2745282View attachment 2745283View attachment 2745284
Show kama hzi huwez pata kokote kenya 😅😅👇
View: https://twitter.com/diamondplatnumz/status/1700945110169497858?t=C6EB_GUQ0go6CFOIqWV2Cw&s=19
Sio shida sana kwani ndio msanii anaekimbiza africa nzima yani katika wasanii 10 africa basi tanzania wanatoka 3 alaf 7 tunawaachia mugawane wote 😅😅Kuna clip flani niliona diamond akiperfom mbele ya watu 10 club flani Canada🤣🤣🤣
Alafu ashindwe kujaza club kidogo Canada wakati kina burna boy wanajaza stadiums za London.Sio shida sana kwani ndio msanii anaekimbiza africa nzima yani katika wasanii 10 africa basi tanzania wanatoka 3 alaf 7 tunawaachia mugawane wote 😅😅
Kwakwakwa hii ni USA😅😅👇👇👇Alafu ashindwe kujaza club kidogo Canada wakati kina burna boy wanajaza stadiums za London.
Dar hakuna beaches ni tope.Good evening ladies and gentlemen,I am to finish this long time battle,between Nairobi city and Dar es salaam city,and this one is going to be a knock out punch to all Nairobi city supporters,do yo know what's that? THE BEACHES,Dar es salaam city has beaches,I mean beatful beaches, Nairobi is a land locked city, comparing Nairobi with Dar is not a fare game.
Please go to play store download and install a brain, is Dar-is-a-slum greater than paris, johannesburg, cairo, addis ababa, dallas, Beijing etc because they all dont have beaches? Me thinks there is something wrong with Tanzania education curriculum because you all danganyikans cannot be this stupid and expect to compete at world levelGood evening ladies and gentlemen,I am to finish this long time battle,between Nairobi city and Dar es salaam city,and this one is going to be a knock out punch to all Nairobi city supporters,do yo know what's that? THE BEACHES,Dar es salaam city has beaches,I mean beatful beaches, Nairobi is a land locked city, comparing Nairobi with Dar is not a fare game.
Kenya kasehemu kalikojengeka ni kadogo sana hususan Nairobi pekee, huwezi kufananisha na Tz.Ni makosa makubwa kulinganisha Nairobi na DSM au Kenya na Tz,Iko hivi,Tanzania imejengwa na WA Tanzania wenyewe wakati Kenya imejengwa kwa jasho la wakoloni,Tz Iko mbali Sana,fikiria Tz tungejengewa kama wakenya walivyojengewa na mabwana zao tungekuwa mbali Sana.Wakenya wawashukuru waingerereza vinginevyo ni maskini wakutupwa.Mheshimu Sana mtu nayejenga nyumba kwa jasho lake