Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ona tu, just five km from the cbd!
Makongo Juu na Makongo yenyewe

20230910_080742.jpg

Screenshot_2023-09-10-08-13-17-79_4937eb900e197f95da98f502ddfb10e1.jpg
Screenshot_2023-09-10-08-13-25-95_4937eb900e197f95da98f502ddfb10e1.jpg
 
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
Ni makosa makubwa kulinganisha Nairobi na DSM au Kenya na Tz,Iko hivi,Tanzania imejengwa na WA Tanzania wenyewe wakati Kenya imejengwa kwa jasho la wakoloni,Tz Iko mbali Sana,fikiria Tz tungejengewa kama wakenya walivyojengewa na mabwana zao tungekuwa mbali Sana.Wakenya wawashukuru waingerereza vinginevyo ni maskini wakutupwa.Mheshimu Sana mtu nayejenga nyumba kwa jasho lake
 
Hizo picha hazipo resolution moja!
 
Back
Top Bottom