Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
UDSM
Nilinganishe nini hizo mnakunya ndani!?Unapost basi tano kulinganisha na mwendo kasi au,.? We ni Chizi.? 🤣🤣
Bro nyie mko nyuma yetu mno likija suala la usafiri yani huko wala sie hatuna mpinzani, ukiachana na nchi za kiarabu ni SA pekee ndio anatuzidi kwenye sector hiyo . Yaani nchi za chini ya jangwa la sahara sisi ni namba mbili kaka baada ya SA.Nilinganishe nini hizo mnakunya ndani!?
Kapanga nani hiyo ratiba!? Kasema nani!? Wewe sio!?Bro nyie mko nyuma yetu mno likija suala la usafiri yani huko wala sie hatuna mpinzani, ukiachana na nchi za kiarabu ni SA pekee ndio anatuzidi kwenye sector hiyo . Yaani nchi za chini ya jangwa la sahara sisi ni namba mbili kaka baada ya SA.
Kama unajiweza tunaenda ground tuKapanga nani hiyo ratiba!? Kasema nani!? Wewe sio!?
Profesa 70 nchi nzima🤣🤣🤣
Embu BypassKisii interchange..Yaani sikuizi interchange ziko hadi mashinani..
View attachment 2739957
Hii ndio imekuja badala ya BRT au??🤣🤣🤣Nairobi Electric Buses all over. Does Tanzania have electric buses??
View attachment 2739915View attachment 2739916View attachment 2739918View attachment 2739919