Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawana Bundle leo weekend wengi wanaodandia Wi-Fi ya kwenye kibarua hawawezi ofisi zimefungwa😂😂😂😂
Huwa nafurahia jinsi vitu ndogondogo zinawashtua nyie wabongo. Sector ya internet tuko mbali saaana na nyinyi. Yeyote aliyetembelea nchi yoyote ya Africa alafu akaja Kenya atakueleza jinsi tuko mbele mambo ya internet. Yani hata bundle hatuziongelei sisi. Huwa nasikia tu mkilia humu eti bundle bundle, Huku 70% ya nyumba mjini zina WiFi. Ushagoo pia WiFi imeingia kwa kasi sana. Yani nikiskia mkiongelea Wifi huwa nacheka sana. 🤣
Msikize mbongo mwenzako anavyoongelea internet ya Kenya pale 7:03

View: https://www.youtube.com/watch?v=nBD0DnYEzn8
 
Jamaa hawapendi kufatilia mpira
Ligi kuu 🇹🇿 vs 🇰🇪
Screenshot_20230903-110341_Twitter.jpg
Screenshot_20230903-110400_Twitter.jpg

Shirikisho 🇹🇿 vs 🇰🇪
Screenshot_20230903-110316_Twitter.jpg
Screenshot_20230903-110302_Twitter.jpg
 
Hakuna Cha chuki wala nini. It's a nice building owned by the Pan African Postal Union, a specialized institution of the African Union. Watanganyika ni hosts tu. I thought you should know that
 
Huwa nafurahia jinsi vitu ndogondogo zinawashtua nyie wabongo. Sector ya internet tuko mbali saaana na nyinyi. Yeyote aliyetembelea nchi yoyote ya Africa alafu akaja Kenya atakueleza jinsi tuko mbele mambo ya internet. Yani hata bundle hatuziongelei sisi. Huwa nasikia tu mkilia humu eti bundle bundle, Huku 70% ya nyumba mjini zina WiFi. Ushagoo pia WiFi imeingia kwa kasi sana. Yani nikiskia mkiongelea Wifi huwa nacheka sana. 🤣
Msikize mbongo mwenzako anavyoongelea internet ya Kenya pale 7:03

View: https://www.youtube.com/watch?v=nBD0DnYEzn8

Mimi niliona wakiongelea hilo swala nikabaki tu nikicheka. Hawa wangejua tu jinsi Kenya imepiga hatua kwenye mambo ya Internet usage and Internet penetration wangenyamaza kimya.

Wajiuluze ni kwa nini online shops like Jumia maintained their Kenyan operations while they closed their operations in most African markets Tanzania included. Hawa vilaza wa South michango yao huwa driven by a lot of emotions pasi na uelewa wowote.
 
Tanzania Iko namba 18 hapo
Kenyan Iko kwenye nafasi ya sita, alama kumi na mbili mbele yenu. Lakini Ile kelele mnapiga hapa kuhusu swala la maji mtu hawezijua mko nyuoma yetu hivyo. Kwa kutumia emotions na kelele kwenye hizi mijadala hamna mpinzani
 
Back
Top Bottom