Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 cheketu cheketu manyuziii
Leo atataga huyo mchizi na chizi mwenzake 🤣🤣🤣 ana edit hadi picha za google earth Halaf anazidogoisha eti Ili zionekane vibaya🤣🤣🤣 huyo jamaa anateseka sana .. 🤣🤣
 
Leo atataga huyo mchizi na chizi mwenzake 🤣🤣🤣 ana edit hadi picha za google earth Halaf anazidogoisha eti Ili zionekane vibaya🤣🤣🤣 huyo jamaa anateseka sana .. 🤣🤣
Unamaanisha nimetoa lami kwa picha ya Google maps ama nimeedit aje bro?🤣
 
NairobiWalker nilikwambia kwamba Masaki ndio neighborhood yenye barabara nyingi za lami kuliko mtaa wowote ule unaojua wewe wa kitajiri huko kwenu.? Vipi still unaendelea kubisha.? 🤣🤣🤣.. yo Njiro neighborhood in Arusha inatoshana na Karen bila shida. Wachaneni na masaki kabisa sio level yenu nyie kondoo
 
Picha ni za google earth lakini pia umezi edit ili zionekane vibaya 🤣🤣🤣🤣 haitoshi umezidogoisha pia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 .. still hautoboi .. kmmke 🤣🤣
Vipi wewe, picha ziko zilivyo.., kwanza zinaonekana clear, hizo apartments sio Masaki ama?.., nilijua lazima utatafuta pakutokea, eti nime edit, hauamini ni masaki hiyo yenye apartments 😂 😂😂😂😂😂

Karen sio mwenzenu.., mtu anaishi kivyake, in his own compound, sio Masaki size ya akina Parklands na Kilimani, ila Kilimani na Parklands zimeizidi kwa vile ziko na CBDs za maana, CBD ama shopping centre ya Masaki hamna kitu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
1693221833775.png

1693221850184.png

1693221861697.png

1693221881788.png
 
Leo atataga huyo mchizi na chizi mwenzake 🤣🤣🤣 ana edit hadi picha za google earth Halaf anazidogoisha eti Ili zionekane vibaya🤣🤣🤣 huyo jamaa anateseka sana .. 🤣🤣
Bro taratibu wana kawaida ya kususa thread watakimbia sasa hvi plz taratibu bado tunawahitaji kwenye kuwaumiza roho zao😅
 
NairobiWalker nilikwambia kwamba Masaki ndio neighborhood yenye barabara nyingi za lami kuliko mtaa wowote ule unaojua wewe wa kitajiri huko kwenu.? Vipi still unaendelea kubisha.? 🤣🤣🤣.. yo Njiro neighborhood in Arusha inatoshana na Karen bila shida. Wachaneni na masaki kabisa sio level yenu nyie kondoo
Mitaa ya kitajiri Kenya huwezi pata barabara isiyo na lami so hiyo concept ya 'barabara nyingi za lami' haiexist maanake barabara zote ni za Lami. Ukitaka nikutajie mitaa top 10 tajiri Nairobi ujionee mwenyewe kwa Google maps nitataja.
 
Nimeona.., anachukua the outskirts, yaani surrounding areas kulazimisha.., google earth itamuacha na maumivu
Unangoja nini kuleta the best of Karen 🤣🤣🤣🤣 eti outskirt 🤣🤣🤣 Karen enyewe ni kadunchuu Halafu eti unajitia eti outskirt ya Karen 🤣🤣🤣
 
Mitaa ya kitajiri Kenya huwezi pata barabara isiyo na lami so hiyo concept ya 'barabara nyingi za lami' haiexist maanake barabara zote ni za Lami. Ukitaka nikutajie mitaa top 10 tajiri Nairobi ujionee mwenyewe kwa Google maps nitataja.
🤣🤣🤣 Wewe bhana wacha maneno leta kàzi.. barabara nyingi ndani ya Karen hazina lami na hata hizi zenye lami ni lami isiyokuwa na viwango .. ushahidi huu hapa 👇
karen5.jpg
index-2-870x420.jpg
nadhani hii 👆 ndio best place enye mnajisifia nayo huko Karen, correct.? 🤣🤣🤣 Wachana na hizo pavement ndani ya hako ka estate barabara za nje ya estate ni tope tupu
 
Unangoja nini kuleta the best of Karen 🤣🤣🤣🤣 eti outskirt 🤣🤣🤣 Karen enyewe ni kadunchuu Halafu eti unajitia eti outskirt ya Karen 🤣🤣🤣
Masaki ni Eastlands hapa Kenya bana..., apartments kwa matajiri wa juu? kivipi? Kuna sehemu mingi za Eastlands zimeizidi Masaki, boss kunywa supu ya mifupa😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ...,
Karen..,
1693222459073.png

1693222601481.png

1693222713507.png
 
Unangoja nini kuleta the best of Karen 🤣🤣🤣🤣 eti outskirt 🤣🤣🤣 Karen enyewe ni kadunchuu Halafu eti unajitia eti outskirt ya Karen 🤣🤣🤣
Karen is the biggest estate by land Area in East Africa and the third richest neighborhood in East Africa after Muthaiga and Gigiri. Wewe mwenyewe unajua hilo ndio maana unapost Google images za Kikuyu ukisema Ni Karen halafu nikipost za Masaki unasema eti nimeedit.🤣
 
🤣🤣🤣 Wewe bhana wacha maneno leta kàzi.. barabara nyingi ndani ya Karen hazina lami na hata hizi zenye lami ni lami isiyokuwa na viwango .. ushahidi huu hapa 👇View attachment 2731369View attachment 2731371nadhani hii 👆 ndio best place enye mnajisifia nayo huko Karen, correct.? 🤣🤣🤣 Wachana na hizo pavement ndani ya hako ka estate barabara za nje ya estate ni tope tupu
Mbona barabara zote kwa hiyo picha ni za Lami? Ama unajifanya kipofu?🤣
 
Back
Top Bottom