Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Hilo wanajua, huwa wanajitoa ufahamu ama kujitia hamnazo tu, Dar ni hovyo sana.., CBD ndogo sana, imejazwa na apartments za waarabu na wahindi, wenzetu weusi wakikomaa uswahilini (uswazi villages in Dar).., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂CCM semantics.
By Kenyan definition, almost all of Dar would be considered a slum.