ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Kama hio ni slum na hii mzungu ataita vp?🤣Another Dar loading...., Dodoma itakua Dar is slum nyingine hivi karibuni...,
View attachment 2726323
Au maana halisi ya slum hamuijui
Kama hio ni slum na hii mzungu ataita vp?🤣Another Dar loading...., Dodoma itakua Dar is slum nyingine hivi karibuni...,
View attachment 2726323
Kisumu bado sana kwa dodoma na mm kisumu huwez kunidanganya 🤣🤣🤣
Kama hio ni slum na hii mzungu ataita vp?🤣
Au maana halisi ya slum hamuijui
View attachment 2726331
Hii Kisumu ni mbeya iliyochangamka tu.Kama hio ni slum na hii mzungu ataita vp?🤣
Au maana halisi ya slum hamuijui
View attachment 2726331
mbeya iko mbali sana bro 😆😆😆😆Hii Kisumu ni mbeya iliyochangamka tu.
Ni DODOMA Gani unayoizungimzia .? 🤣🤣🤣 DODOMA hii 👇
View attachment 2726306
Hii ni estate moja Kati ya makimi ya etates zilizopo DODOMA. In case you don't know
ndio maana mzungu hakuona slum dar ila kenya nzima akaona slums yaani ww uwe unaakili zaidi ya aliefunga satellite juu kwa billions of money???😆😆😆😆😆😆Still looks more organized than Dar 😂 😂
go dodoma 🇹🇿 🇹🇿
View attachment 2726332
Dodoma ukitoa ujenzi unaoendelea wa serikali, what does it have?
Kisumu, Nakuru and Eldoret would give it a run for its money.
Dodoma
View: https://www.youtube.com/watch?v=IhBpdMCCyRQ
Nakuru
View: https://www.youtube.com/watch?v=ThJSYta0LnQ&t=272s
si bora huku kwetu, nairobi kuna mpaka magorofa ya mabati😆😆😆😆😆What's Tanzania's deal with those huge, ugly elongated mabati?
Kwani mabati ni bure Bongo? 😂 😂
ndio maana mzungu hakuona slum dar ila kenya nzima akaona slums yaani ww uwe unaakili zaidi ya aliefunga satellite juu kwa billions of money???😆😆😆😆😆😆
hebu tuoneshe ulivohesabu tuone, ila unaumia sana 🤣🤣🤣Go where? 😂😂
These are something like 100 units. The equivalent of 1 apartment building in Kasarani.
uhehehehehehehehheheh na sijawa kusikia wakitaja kua tanzania kuna slum siajwah na hata google sasa hvi top 1000 slums on earth huwez kupata ila top ten ya dunia nyinyi muna slum tano ndani au unabisha😆😆😆😆Mzungu kuja Kenya na kuona slum ni kumaanisha alikuwa amekuja 'slum tourism'.
Slums cover less than 1% of Nairobi land. You'll need to work hard to see one.
Dar all you need is turn your head one way, and booom. Slum
Unaumia ukiwa wapi.? 🤣🤣🤣.What's Tanzania's deal with those huge, ugly elongated mabati?
Kwani mabati ni bure Bongo? 😂 😂
dodoma kwa projects tu utachoka weweGo where? 😂😂
These are something like 100 units. The equivalent of 1 apartment building in Kasarani.
Boss unatafuta njia ya kutokea wala sikupi hiyo nafasi, tuko hapa hapa Dodoma CBD haina ghorofa mingi kuliko Lolwe estate Kisumu..., hilo ni jibu tosha.., mengine nenda ukahadithie wenzako vijiweni.., hapa kazi imeisha.., 😂 😂 😂 😂 😂Usimalize bando mjomba 🤣🤣🤣 👇
Tulinganishe estate moja moja between DOM vs Kisumu tuone nani atakimbia battle ..
Miji ya Kenya estates tunazo tokea zamani, ndio jua linachomoza Tanzania, mtafika wala msife moyo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂dodoma kwa projects tu utachoka wewe
View attachment 2726343
View attachment 2726348
View attachment 2726350
munazo lakini hazionekani maisha ni invisible 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Miji ya Kenya estates tunazo tokea zamani, ndio jua linac homoza Tanzania, mta fika wala msife moyo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂