Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Wacha kuchanganyikiwa, Lolwe estate pekee ya Kisumu imeizidi Dodoma CBD.., ukweli imekuuma hadi kwa mishipa, inabidi uongeze uongo kujiliwaza😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Naona sasa hvi dodoma inafananishwa na kisumu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aloo anahangaika vibaya mno
Dodoma CBD vs Lolwe estate Kisumu.., Lolwe estate iko na ghorofa nyingi kuliko Dodoma CBD..,😂😂😂😂😂😂
Lolwe estate..,