chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,082
Kwanza mfuko wao wa social security fund ni mmoja tu ambao ndio huo wa private sector na government sectorNdoto za mchana.Hakuna uchumi wa hivyo
Haya hebu tuoneshe ni kipi cha maana kwenye video hii au kaonesha kitu gani very special ??😅😅😅 yani ni vichekesho vya kila siku tu
😅😅😅😅
Only 6% of Nairobi looks like this. 80% of Dar looks like the photo I posted.
Nani amekwambia hizo takataka umepost ni uper middle class.? Picha ya chini uliyoweka hayo ndio makazi ya mtanzania maskini kabisa. Picha ya juu ni mtanzania mwenye kipato cha kati cha chini. Lower middle class. Na nyumba za hivyo ndio nyingi zaidi Tz kwasasa kuliko kitu chochoteNgoja ufunzwe.
For a country where this is the definition of upper middle class, you really should consider sitting this one out. 🤣 🤣 🤣
View attachment 2717294
View attachment 2717295
Sasa Kenya inakuwa appreciated kwenye nini, kuna infrastructures zipi world class zipo kwenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]That one must be a Tanzanian, probably from this thread. 95% of the comments including those from SA are positive. Sema tu unaumwa kusikia Kenya ikiwa appreciated.
Mpaka sasa hawakubali kwamba watanzania wameanza kuitawala Kenya kiuchumi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu ndio huyo mzungu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2717000View attachment 2717001
Weka hapa picha ya huyo mzungu mbona huweki sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkurugenzi Mtendaji = Managing Director.
Managing Director na owner wapi na wapi? Ulifika darasa la ngapi wee mwehu?
Hahahaha, ninyi watu mpo na shida sana, Shilingi ya Kenya ikianguka " is a good thing", lakini Shilingi ya Tanzania ikianguka" that is very bad thing".
South C ni lislum kwa standard za kimataifa ni hivyo tu Africa tupo nyuma bado, limeparara though kama vingunguti
View attachment 2715649
South C ni lislum kwa standard za kimataifa ni hivyo tu Africa tupo nyuma bado, limeparara though kama vingunguti
View attachment 2715649
Haya mazingira yenu ya rangi ya tope yananikera sana.Mzee utakoma kuleta picha za 2005
South C, Nairobi.
More highrises under construction than the whole of Dar.
Of course you can prove me wrong by posting a video of a Dar estate with equivalent number of mega constructions.
Haya mazingira yenu ya rangi ya tope yananikera sana.
Huko estate huwezi pata lami. Ni vumbi tupu. Lami ni kwa main roads tu. Hii ndio Estate yao ya kifahari eti.Haha. Usijali mzee.
GOK is always late, but it eventually delivers.
Huko Bongo what is your private sector doing?
Huko estate huwezi pata lami. Ni vumbi tupu. Lami ni kwa main roads tu.