Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mh wacha hiyo maneno fedha za EACOP zitatoka Total na humuambii kitu Macron labda Museveni agombane nae!

Macron ni muumini kindakindaki wa LGBTQ, tatizo hawa wazungu wanatanguliza Sana haki za binadamu kuliko mambo mengine, pia Total ataogopa vikwazo vya Marekani juu yake.
 
Hivi mkuu tukisema tusipinge chochote kwasababu tunaingilia uhuru wa mtu kwenye hili suala la ushoga,usagaji, utoaji mimba, ukiangalia mbele ni nini kitatokea kwa kizazi cha mwanadamu?........

Mkuu hakuna lolote litakalotokea zaidi ya watu kuwa huru zaidi katika maisha yao. Haya mambo yameruhusiwa huko nchi za wenzetu zaidi ya miaka 50 iliyopita, umesikia Kuna tatizo lolote?, mbona maisha yao yanazidi kuboreka mwaka hadi mwaka kutuzidi?, Woga wako ndio tatizo, tatizo sio hayo uliyoyataja.

Kwanini huwa tunapinga mauaji. Ikitokea jamii moja, kiongozi mmoja akaidhinisha mauaji kiholela tusipinge kwasababu ni haki yake kwa kuwa akiua anafurahi sana,anapata raha mustarehe, ni haki yake kuua kwa vile hajaniua mimi wala ndg,rafiki au jamaa yangu[emoji2955].... I'm

Jibu; Haya ni mambo ambayo tulikubaliana wenyewe Kama nchi kwamba yapo ndani ya mipaka yetu, mtu yeyote atakayekwenda kinyume atakua ametuingilia ndani ya mipaka yetu, ila hatupaswi kuwahukumu Wala kuwakaumu watu ambao kwao wanaruhusu haya ambayo sisi huku tumeyakataza, nao wanayohaki ya kufuata katiba zao, tusiwaingilie.
Daaah hueleweki kabisa mkuu, ngoja tu niachane na hizi mada zako tusije kuvunjiana heshima.
 
Mkuu ingekuwa hivyo basi duniani zisingewekwa sheria, kanuni na taratibu, mana kuna watu wao furaha yao ni kukesha bar lkn kuna muda bar zinatakiwa kufungwa.

Kuna watu wao kuvuta bangi ndiyo starehe yao na hawamsumbui mtu lkn kwa mujibu wa sheria za nchi yetu hawatakiwi kuvuta bangi.

Kuna watu dawa za kulevya ndio tulizo lao la moyo na hawamsumbui mtu yeyote wala kuingilia uhuru wa mtu yeyote lkn kwa mujibu wa sheria za nchi yetu dawa za kulevya hairuhusiwi.
Shida yake kubwa ni hataki kuona beberu akikosolewa au kusemwa mabaya yake yeye hilo halitaki 😅😅😅😅😅
 
Dah mpaka namuonea huruma...

Asipoangalia ile pipeline itageuka hewa!

Pipeline iko chini ya mchina sasa hvi itakua hewa kivipi kwani hujui kama mfaransa alijitoa ? Kaamua kupambana na laana za hao mbwa wanaoangamiza dunia mwache apambane na africa nzima imuunge mkono ndio maana tunahitaji sana multipolar world
 
Iwe kweli isiwe porojo
 
20km from Dar CBD [emoji91] [emoji91] [emoji91]
FB_IMG_1691547802535.jpg
 
Pipeline iko chini ya mchina sasa hvi itakua hewa kivipi kwani hujui kama mfaransa alijitoa ? Kaamua kupambana na laana za hao mbwa wanaoangamiza dunia mwache apambane na africa nzima imuunge mkono ndio maana tunahitaji sana multipolar world
Huu mradi upo chini ya Total ambalo ni kampuni la Ufaransa, ila pesa ndio wanaomba China, Sasa Kama serikali ya Ufaransa ikivunja mahusiano na Uganda na kuiwekea vikwazo, itawezekanaje kampuni lao kuendelea kuwekeza Uganda?
 
Ufaransa chini ya Macron haiwezi kivunja mradi! Jaribu kuchunguza jinsi wanavyowadindia EU Parliament labda kutokee Coup Uganda kama Niger!

Am looking at a situation in the next three years where 20 floor towers in Nairobi will not count. Nairobi is transitioning into a dense high-rise city where towers 20-30 floors are too common to count. South C has joined the fray.
Example below is 12, 20 floor towers under construction in South C. Construction is underway
download (70).jpeg
 
Back
Top Bottom