Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi
20230809_202021.jpg
 
Huu mradi upo chini ya Total ambalo ni kampuni la Ufaransa, ila pesa ndio wanaomba China, Sasa Kama serikali ya Ufaransa ikivunja mahusiano na Uganda na kuiwekea vikwazo, itawezekanaje kampuni lao kuendelea kuwekeza Uganda?
china kaahidi atatoa so shida iko wapi? Mchina mwenyewe anaitolea macho hio project yeye mwenyewe anataka hio project ife hata sasa hvi aichukue 🤣🤣🤣 ukisusa wenzako wanakula tu
 
Ufaransa chini ya Macron haiwezi kivunja mradi! Jaribu kuchunguza jinsi wanavyowadindia EU Parliament labda kutokee Coup Uganda kama Niger!

Nilimwambia huyo anaetetea haki za mashoga kua huo mradi mchina anautolea mate leo kesho anaomba ajivue ufaransa alaf aone shughuli itakayofuata😅😅😅😅
 
Am looking at a situation in the next three years where 20 floor towers in Nairobi will not count. Nairobi is transitioning into a dense high-rise city where towers 20-30 floors are too common to count. South C has joined the fray.
Example below is 12, 20 floor towers under construction in South C. Construction is underway
View attachment 2713870
Asante kwa render, GOD bless u🤣🤣👏👏
 
Ufaransa chini ya Macron haiwezi kivunja mradi! Jaribu kuchunguza jinsi wanavyowadindia EU Parliament labda kutokee Coup Uganda kama Niger!

Tuombe iwe hivyo.
 
china kaahidi atatoa so shida iko wapi? Mchina mwenyewe anaitolea macho hio project yeye mwenyewe anataka hio project ife hata sasa hvi aichukue ukisusa wenzako wanakula tu
Huu mradi sio mradi wa China, huu ni mradi wa Wafaransa, maamuzi yote yapo mikononi mwa TOTAL Energy, ambao ni Wafaransa, China ni financer tu, Sasa TOTAL wakiamua kusimamisha shughuli zao hadi muafaka upatikane, China atawezaje kuchukua mradi?. Kwanza ataanzaje wakati gharama zote za utafutaji wa Mafuta na visima vyote ni Mali ya Total Energy?
 
Huu mradi sio mradi wa China, huu ni mradi wa Wafaransa, maamuzi yote yapo mikononi mwa TOTAL Energy, ambao ni Wafaransa, China ni financer tu, Sasa TOTAL wakiamua kusimamisha shughuli zao hadi muafaka upatikane, China atawezaje kuchukua mradi?. Kwanza ataanzaje wakati gharama zote za utafutaji wa Mafuta na visima vyote ni Mali ya Total Energy?
Naona hunielew ninachoongea nimekwambia hvi huo mradi hata mchina anautaka so hata mfaransa akiacha kisa uganda imekataa ushoga wako watu wanautaka na wataendeleza simple like that mzee😅😅😅😅 vp ecowas wamefkia wapi?? Naskia wameanza kugeukana wao kwa wao sasa 😅😅😅😅
 
ichoboy01 Jamaa zako wanang'olewa muda sio mrefu

Siku 10 zishapita walizoahidi sasa zinaenda siku 14 hakuna majibu mpaka sasa hvi 😅😅😅 na kwa taarifa fupi tu hao ecowas wameanza kugeukana wao kwa wao sasa au huna hio taarifa na kwa taarifa rais aliepinduliwa au kwa lugha nyingine kibaraka wao yuko kizuizini hvi tunavozungumza

Wanakaa vikao kila siku na majibu hakuna hahaha ngoma nzito nilikwambia mm na bado kisago kinakuja kwenye nchi zao hao ecowas tulia muda uongee😅😅
 
Hivi naomba kuuliza wazee. Mbona hawa Niger wamewakalia kooni sana kwani ndio nchi ya kwanza au ya pekee kufanya mapindizi ya kijeshi kwa miaka hii??
Kwasababu niger wamejitambua na wameshtuka sasa ule unyonyaji wao wa kuiba rasilimali utaisha ndio hofu yao kubwa na hasa kwa ufaransa ambako tayar kashapoteza nchi tatu kwenye mageuzi sasa anahaha hasa kwenye resources so wanazunguka kwa nyuma kutumia ecowas kurudisha wale watu wao ili waendelee kuinyonya niger sasa bahat mbaya zaidi ecowas yenyewe hawaaminiani 😅😅😅😅 na nchi zilizobaki ecowas hazizidi 5 na wote wana migogoro kwenye nchi zao
 
Back
Top Bottom