Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umasikini wako ndio unaokufanya unyanyasike, pambana na umasikini Ili uwe na uwezo wa kujiamulia mambo yako, Wacha Kulalamika.
Kwani umaskini umesababishwa na nani? Umaskini huu wote africa chanzo chake ni hao hao wao ndio wamechukua resources kwa nguvu tena kwa kuuwa watu na wengine walichukuliwa mateka na kupelekwa ulaya kwenda kujenga miji yao na kuna mengi sana nyuma ya historia yaliyofichwa mengi sana 😅😅😅 hii mada nilishakwambia bro achana nayo huiwezi
 
tujitegemee! Tuache kuombaomba!
lazima tu support multipolar world kwa nguvu sana ili huu uonevu uishe kama leo niger anajikomboa kutoka kwenye manyanyaso ya mfansa anaeiba resources tena kwa nguvu kwa kuweka watu wake alaf anatumia mgongo wa ECOWAS kuingilia kati, alaf yuko mwafrica anashangilia huu upuuzi kisa anashabikia ushoga 🤣 🤣 🤣

kweli hii dunia imeisha kaaaaaah
 
Kwani umaskini umesababishwa na nani? Umaskini huu wote africa chanzo chake ni hao hao wao ndio wamechukua resources kwa nguvu tena kwa kuuwa watu na wengine walichukuliwa mateka na kupelekwa ulaya kwenda kujenga miji yao na kuna mengi sana nyuma ya historia yaliyofichwa mengi sana hii mada nilishakwambia bro achana nayo huiwezi
Kama umebaki kuwa mtumwa wa historia(slave of the past), subiri uone utakavyonyanyasika.

Hata South Korea, Singapore,India, Brasil, Malaysia, na nchi zingine za Dunia ya pili pia zilitawaliwa na kudhulumiwa Kama Africa, lakini wameweka mambo yao sawa na wanajitegemea kwa kiasi kikubwa. Wewe endelea Kulalamika na kucheza karata ya unyonge(victim's card), uone Dunia itakavyokufanya.

Amka Sasa na uaenze kusonga mbele" You can't change the past but you can create your future, Africa stop " cry baby syndrome mentality", the World is moving forward at very high speed, no enough time for dwelling on the past.
 
lazima tu support multipolar world kwa nguvu sana ili huu uonevu uishe kama leo niger anajikomboa kutoka kwenye manyanyaso ya mfansa anaeiba resources tena kwa nguvu kwa kuweka watu wake alaf anatumia mgongo wa ECOWAS kuingilia kati, alaf yuko mwafrica anashangilia huu upuuzi kisa anashabikia ushoga

kweli hii dunia imeisha kaaaaaah
Wewe akili yako haipo sawasawa, hivi unashabikia mapinduzi ya Kijeshi ndio iwe njia halali ya kujitawala Africa?. Kwahiyo mapinduzi yaliyomtoa madarakani Thomas Sankara pia yalikua ni sahihi?, wewe jamaa sikujua Kama ni hovyo kiasi hiki.

Kwahiyo wanajeshi ndio waungwana wenye kuzipenda nchi zao, lakini viongozi wote wenaochaguliwa kwa njia ya uchaguzi ni vibaraka wa nchi za magharibi?. Wewe umezoea utawala wa kisultani hauamini katika uchaguzi, hamia Uarabuni ambako hakuna uchaguzi, huku Africa tunaamini katika uchaguzi sio mapinduzi wala Usultani

Hao wahuni wa Niger watatoka hapo walipo na rais aliyechaguliwa na wananchi atarudi ktk nafasi yake.
 
Sidhani kama unafahamu physics ya heat transfer kwenye nyumba yenye paa ndefu. Unafikiri ni kwa nini makanisa na majumba ya zamani yalikuwa na paa ndefu? Hewa yenye joto hupaa juu na ya baridi hushuka chini, hivyo paa refu linasaidia kuongeza mzunguko wa hewa baridi (cooling effect) ndani ya nyumba.
🤣🤣🤣🤣 mfumo wa elimu wa CCM ni bure sana walai ..enda shule urudishiwe school fee ...kwa nini north africa, middle east na south east asia hawana high pitched roofs na huko ndio kuna joto zaidi ya huku? ugly houses
 
Sijui kama hii imewekwa hapa.
Parklands, Nairobi. Another estate chasing Kilimani, Westlands and Eastleigh in the number of highrise apartments.

You can see green nets everywhere. I'm yet to see a single Dar estate with even a fraction of the highrise constructions happening in Parklands.
You can bet this area will be unrecognizable by 2030. Bongolala mjikakamue kidogo.

 
It seems, In Nairobi's main Districts, 20+ is the new norm.
WESTLANDS is about to form a cluster never seen before in Africa.
Example
33 floor twin towers. Now on 5
View attachment 2709482View attachment 2709483View attachment 2709484

Residential tower 25 floor high
View attachment 2709485View attachment 2709486

All these are just neighbours to GTC

Usiwamalize. 😂 😂

Tanzania watu ni maskini. Hakuna private capital.

You'll struggle to identify 20 high-rise buildings under construction in the whole of Dar es Salaam.
Yet in Nairobi, you'll find 20 under construction in just one street in Eastleigh. Not to mention Westlands, Kilimani, Parklands etc.

Tanzania's economy is cosmetic. Propped up by government constructions.
In the top 10 tallest buildings in Tanzania, nearly all of them are owned by the government or government bodies.
In the top 10 in Kenya, only 1 is owned by the government.

Beneath the government show projects, the people are Poor with a capital P.
They neither have the capital to build such buildings, not the money to buy fancy apartments.
 
In Dodoma you have the chance to build a modern city from scratch.
Lakini bongolala ni nani? Nyumba zinakaa zile Kenya tulikuwa tunajengea civil servants 1970s.
Heb post hizo nyumba mlijengea civil servants those years tuone mkuu
 
Kama umebaki kuwa mtumwa wa historia(slave of the past), subiri uone utakavyonyanyasika.

Hata South Korea, Singapore,India, Brasil, Malaysia, na nchi zingine za Dunia ya pili pia zilitawaliwa na kudhulumiwa Kama Africa, lakini wameweka mambo yao sawa na wanajitegemea kwa kiasi kikubwa. Wewe endelea Kulalamika na kucheza karata ya unyonge(victim's card), uone Dunia itakavyokufanya.

Amka Sasa na uaenze kusonga mbele" You can't change the past but you can create your future, Africa stop " cry baby syndrome mentality", the World is moving forward at very high speed, no enough time for dwelling on the past.
sasa kama hutaki history kwann uwalaumu waafrica? sio suala la kulalamika ni suala la kusimamia haki sio kutumia mabavu kuwaonea nchi zingine, eti kisa ushoga laana zao ndio uwalazmishe wanaume wapandiane 🤣 🤣 kila wanalojaribu africa linagonga mwamba walikuja na ukimwi wakajua watu wataisha lakini wapi wakaja na family planning wakagonga mwamba ikaja corona wakasema africa watakufa sana lakini wapi wakasahau kuna MUNGU YUPO

Africa inalindwa na MUNGU tu na isingekua MUNGU africa ingekwisha kitambo sana na sasa tunataka multipolar world ili uonevu uishe na laana zao wabaki nazo full stop
 
Back
Top Bottom