Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa kama hutaki history kwann uwalaumu waafrica? sio suala la kulalamika ni suala la kusimamia haki sio kutumia mabavu kuwaonea nchi zingine, eti kisa ushoga laana zao ndio uwalazmishe wanaume wapandiane kila wanalojaribu africa linagonga mwamba walikuja na ukimwi wakajua watu wataisha lakini wapi wakaja na family planning wakagonga mwamba ikaja corona wakasema africa watakufa sana lakini wapi wakasahau kuna MUNGU YUPO

Africa inalindwa na MUNGU tu na isingekua MUNGU africa ingekwisha kitambo sana na sasa tunataka multipolar world ili uonevu uishe na laana zao wabaki nazo full stop
Sasa kwanini msiombe misaada ya pesa toka kwa Mungu badala yake mnawategemea hao wanaowanyanyasa?, Kwahiyo hata Ukimwi pia ni wazungu?. Mkuu pitia pale Muhimbili kitengo Cha vichaa wakuchunguze kidogo, akili zako au elimu yako haipo vizuri, sikutegemea mawazo ya kijinga Kama haya kutoka kwako.
 
Uganda ameshanyimwa mikopo huko world bank, vipi tunaendanae.? Au tunamuacha.?
Lets wait and see! Mi kitambo nilitaka tujenge viwanja vyetu na tuachane na huu ujinga wa kuandaa mashindano under pressure huku ukishindana na muda. Tujenge viwanja vyetu kwaajili yetu na miaka hiyo tukiwa vizuri tunaweza fikiria kufanya hii kitu wenyewe na kwa raha zetu.

Uganda nimesikia pini ya world Bank, nothign surprises me kuhusu hili, na mashakahola inchi ina hali mbaya kifedha mpaka rais wao kakonda.
 
Usiwamalize. 😂 😂

Tanzania watu ni maskini. Hakuna private capital.

You'll struggle to identify 20 high-rise buildings under construction in the whole of Dar es Salaam.
Yet in Nairobi, you'll find 20 under construction in just one street in Eastleigh. Not to mention Westlands, Kilimani, Parklands etc.

Tanzania's economy is cosmetic. Propped up by government constructions.
In the top 10 tallest buildings in Tanzania, nearly all of them are owned by the government or government bodies.
In the top 10 in Kenya, only 1 is owned by the government.

Beneath the government show projects, the people are Poor with a capital P.
They neither have the capital to build such buildings, not the money to buy fancy apartments.

If Shakaholaz ever had cash to buy fancy apartments, there wouldn't be so much slum dwellers in your cities.
 
Wewe akili yako haipo sawasawa, hivi unashabikia mapinduzi ya Kijeshi ndio iwe njia halali ya kujitawala Africa?. Kwahiyo mapinduzi yaliyomtoa madarakani Thomas Sankara pia yalikua ni sahihi?, wewe jamaa sikujua Kama ni hovyo kiasi hiki.

Kwahiyo wanajeshi ndio waungwana wenye kuzipenda nchi zao, lakini viongozi wote wenaochaguliwa kwa njia ya uchaguzi ni vibaraka wa nchi za magharibi?. Wewe umezoea utawala wa kisultani hauamini katika uchaguzi, hamia Uarabuni ambako hakuna uchaguzi, huku Africa tunaamini katika uchaguzi sio mapinduzi wala Usultani

Hao wahuni wa Niger watatoka hapo walipo na rais aliyechaguliwa na wananchi atarudi ktk nafasi yake.
harudi kamwe na bado wale watu wao waliopandikizwa kwa kutetea maslahi yao watasafishwa wote tuko hapa mm na ww ntakutag 🤣 🤣 🤣 hakuna maisha ya uonevu yasiokua na mwisho na mwisho ndio huu ndio maana wanapinduliwa kizembe na hao ECOWAS waliobakia sijui nchi nne nao moto unakuja kwao vile vile just mark my words

hakuna uonevu au wizi usiokua na mwisho mzee tunataka africa iamke na ipiganie haki zake dhidi ya hao wanyonyaji leo from no where mtu anakupangia matumizi ya kua mwanaume ampande mwanaume mwenzie na kama sio hvo hakupi mkopo , what a hell? 🤣🤣🤣🤣
 
harudi kamwe na bado wale watu wao waliopandikizwa kwa kutetea maslahi yao watasafishwa wote tuko hapa mm na ww ntakutag hakuna maisha ya uonevu yasiokua na mwisho na mwisho ndio huu ndio maana wanapinduliwa kizembe na hao ECOWAS waliobakia sijui nchi nne nao moto unakuja kwao vile vile just mark my words

hakuna uonevu au wizi usiokua na mwisho mzee tunataka africa iamke na ipiganie haki zake dhidi ya hao wanyonyaji leo from no where mtu anakupangia matumizi ya kua mwanaume ampande mwanaume mwenzie na kama sio hvo hakupi mkopo , what a hell?
Ninajua watu hapa wanafuatilia kwa makini Sana haya majibishano yetu, ninataka tukubaliane kati ya Mimi na wewe nani zaidi.

1)Endapo haya mapinduzi ya Kijeshi huko Niger yatadumu bila kutoka madarakani, wewe nitakuheshimu kamwe sitakupinga tena na nitaamini hata hoja ya ushoga pia wewe upo sahihi.

2)Endapo hao JUNTA watatoka madarakani kwa sababu yoyote Ile, unapaswa kuniheshimu na kukubaliana na hoja zangu zote.
 
An urban poor in Nairobi is wealthier than a rich villager in Bongo. 😂 😂
Wacha kujiongopea mjomba bed seaters wa Hapo Nairobi wanaeza jifanananisha na wamiliki wa nyumba tz kweli .? Nyumbaya kawaida tu ka 👇
150098a06785adb9bb73887e250198c4.jpg
.. sasa kama hujui majority of Tanzanian houses in DODOMA for example 70%-80% are of this kind 👇 .
487d1202c04c1db6853bae3aba5860e6.jpg
sasa je aliepangisha vyumba viwili kwenye gorofa chakavu lisilolo na viwango👇
qreg05jarqbqbgb60b90aeac4925.jpg
au aliepangisha hii takataka kwa jina la buru 👇
5ed6dc88-1fca-47f5-bafe-82c50a9f3238(0).jpg
na anaemiliki nyumba yake nani ni middle class Bro.? According to you.? Halafu maskini zaidi/wa mwisho in Dar huwa wanaishi mazingira haya 👇
tandale10.jpeg
tandale.jpg
tandale2.jpeg
while maskini zaidi/wa mwisho Nairobi anaishi makazi haya 👇
Kibera-4.jpg
Polluted-stream-bank-in-Kibera-Nairobi-Kenya-Source-Kibera-slum-Nairobi-Kenya.jpg
😂😂 hakuna namna yoyote maskini wa Nairobi aweze kuishi DAR, mana hatuna aina ya makazi ya maskin wa Nairobi, those guys are too much..
 
🤣🤣🤣🤣 mfumo wa elimu wa CCM ni bure sana walai ..enda shule urudishiwe school fee ...kwa nini north africa, middle east na south east asia hawana high pitched roofs na huko ndio kuna joto zaidi ya huku? ugly houses
There is more than one way to skin that cat, the middle esterners use tents instead.
 
Sasa kwanini msiombe misaada ya pesa toka kwa Mungu badala yake mnawategemea hao wanaowanyanyasa?, Kwahiyo hata Ukimwi pia ni wazungu?. Mkuu pitia pale Muhimbili kitengo Cha vichaa wakuchunguze kidogo, akili zako au elimu yako haipo vizuri, sikutegemea mawazo ya kijinga Kama haya kutoka kwako.
nilikakwambia kuna mada zingine acha zipite mzee ziko nje ya upeo wa akili yako. mm au ww wakwenda muhimbili nani? Ikiwa unafurah kuona vijana wanafukuliwa tope alaf uko hapa kushangilia na kutetea 🤣🤣

Dunia hii imeisha aisee 🤣🤣🤣 eti mtoto wa kiume aolewe na dume mwenzie hahaha
 
Ninajua watu hapa wanafuatilia kwa makini Sana haya majibishano yetu, ninataka tukubaliane kati ya Mimi na wewe nani zaidi.

1)Endapo haya mapinduzi ya Kijeshi huko Niger yatadumu bila kutoka madarakani, wewe nitakuheshimu kamwe sitakupinga tena na nitaamini hata hoja ya ushoga pia wewe upo sahihi.

2)Endapo hao JUNTA watatoka madarakani kwa sababu yoyote Ile, unapaswa kuniheshimu na kukubaliana na hoja zangu zote.
Tuko hapa mm nakwambia kibaraka wa wazungu aliwekwa kwa maslahi ya kuiba rasilimali za niger harudi madarakani niger mark my words 😅😅 yani leo nikikwambia unitajie nchi zilizobakia active ecowas hazizidi tano na wote ni vibaraka wanaogopa mapinduzi na mapinduzi ni kama glass watakunywa tu 😅

Hakuna unyanyasaji na wizi unaodumu maisha weka haya maneno kwa akiba ya kesho😁😁
 
nilikakwambia kuna mada zingine acha zipite mzee ziko nje ya upeo wa akili yako. mm au ww wakwenda muhimbili nani? Ikiwa unafurah kuona vijana wanafukuliwa tope alaf uko hapa kushangilia na kutetea

Dunia hii imeisha aisee eti mtoto wa kiume aolewe na dume mwenzie hahaha
Usipuuze mkuu, pitia Muhimbili haraka, wewe haupo sawa kichwani, huu ni ushauri tu, usinihukumu.
 
Sijui kama hii imewekwa hapa.
Parklands, Nairobi. Another estate chasing Kilimani, Westlands and Eastleigh in the number of highrise apartments.

You can see green nets everywhere. I'm yet to see a single Dar estate with even a fraction of the highrise constructions happening in Parklands.
You can bet this area will be unrecognizable by 2030. Bongolala mjikakamue kidogo.

Screenshot_20230809-221422~2.jpg
 
Back
Top Bottom