Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na vita yenu hivyo hivyo bado mnajipa moyo tu, chizi gn aje kufanya biashara nchi ya kimavi mavi kama Kenya, kila mtu mwizi. Kila mtu anataka kuwa rais mpaka mshona viatu, wananchi hawana adabu, wanasiasa hawajiheshimu, nani atake kufanya biashara na Kenya kuliko Tz? No wonder nchi jirani zinazotunguka zimeona zifanye biashara sehemu salama zaidi ambayo ni Tz, na mkiendelea upuuzi wenu mtajikuta mmepoteza business partner wote.
 
Huyu jamaa ni mtanzania, ila anaongelea vitu vya kwenye vitabu, sio hali halisi mtaani.
 
singida fountain gate wamekabidhiwa bus jipya kwa ajili ya team

wapi "mbasi" ya Gor Mahia? Coco reborn

Gor.jpg

Huyu jamaa ni mtanzania, ila anaongelea vitu vya kwenye vitabu, sio hali halisi mtaani.
Huyo NairobiWalker ni mkenya tena yule mkenya wa zamani sana, ana account nyingi humu anabadilisha badilisha kila siku, yupo kwenye mitandao mingi, kazi yake ni kuichafua Tanzania mitandaoni. Hana kazi ya kufanya huwa anashinda mitandaoni akiandika vi article vya kujiliwaza na kuichafua Tanzania japo kwa sasa amepunguza baada ya kuona Tanzania inazidi kuiacha kenya in every aspect.
 
a.k.a zwazwa 😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom