joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hivi inakuaje pamoja na yote haya lakini bado Tanzania inaizidi Kenya katika kupokea FDI?
Hivi inakuaje pamoja na yote haya lakini bado Tanzania inaizidi Kenya katika kupokea FDI?
Of course ni kawaida yenu kukana kila kitu hakiendi sawa na matarajio yenu, tushawazoea
Wapo congo wanapiga picha 🤣🤣
Kenya ni mfano Bora wa shithole country, hakuna mfano mzuri zaidi wa nchi ya hovyo Kama Kenya, kupenda kujisifu kulikopitiliza lakini hamna kitu wanaweza.Hii ni movie ama ndio picha halisi namna jeshi lenu linachezewa? Nyie ndio kila siku mnajigamba kutrain na US Military na mnakufa kizembe namna hii kama kuku? Nimeumizwa sana, siwezi kumruhusu mwanangu ajiunge na jeshi la Kenya mpaka pale mtakuwa na Serikali inajielewa.
dar imepata good infrastructures what about Nairobi?? 🤣 🤣 🤣
nairobi ndio ya pili kwa worst traffic
Endelea kuota🤣Don't confuse 'good infrastructure' with extreme poverty.
Kenya has almost 3 times as many cars on the road than Bongolala. Despite a smaller population.
It will take Tanzania 20 years to reach Kenya's level of highway system, if Kenya stops building new ones today.
Na sababu bongolala kingereza iliwapiga chenga, let me explain.
Kenya having a better and more expansive highway system than TZ, does not mean Kenya has a good system. It can be much better, and we're working on it.
So, msikuje kuuliza why Nairobi still have traffic if we have better highways.
View attachment 2707215
source by who mama ngina or??? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 tulileta data za magari hapa mukakimbia hebu waulize wenzako kiazi weweDon't confuse 'good infrastructure' with extreme poverty.
Kenya has almost 3 times as many cars on the road than Bongolala. Despite a smaller population.
It will take Tanzania 20 years to reach Kenya's level of highway system, if Kenya stops building new ones today.
Na sababu bongolala kingereza iliwapiga chenga, let me explain.
Kenya having a better and more expansive highway system than TZ, does not mean Kenya has a good system. It can be much better, and we're working on it.
So, msikuje kuuliza why Nairobi still have traffic if we have better highways.
View attachment 2707215
East Africa: fleet of operating vehicles in 2020 | Statista.source by who mama ngina or??? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 tulileta data za magari hapa mukakimbia hebu waulize wenzako kiazi wewe