Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni movie ama ndio picha halisi namna jeshi lenu linachezewa? Nyie ndio kila siku mnajigamba kutrain na US Military na mnakufa kizembe namna hii kama kuku? Nimeumizwa sana, siwezi kumruhusu mwanangu ajiunge na jeshi la Kenya mpaka pale mtakuwa na Serikali inajielewa.

Imagine , Na hao wasomali wapo kenya , ndani ya Mipaka ya kenya wanafanyiwa huo umafia nyumbani kwao,
Hiyo ni nchi au takataka ?
 
hii story since 2016 ni planning tu..
Plan wakati umeambiwa inarejea na over 144 has already aligned up.

Samia sio mjamaa anajua kukuza uchumi ndio maana real estates imerejea Kwa speed ya 5G

20230802_122344.jpg
 
Ww ni chizi kabisa in 2012 dar alone ilikua ina over 1m vehicles 🤣🤣🤣👇👇👇👇
allAfrica.com
Home › stories
Tanzania: Number of Dar es Salaam Vehicles Alarms Magufuli



Ndio maana nakwambia hii mada tulishamalizana nayo chizi wewe nairobi is just 696km sq ambayo half of it ni national park na robo no misitu alaf robo ndio majengo na slums humo humo alaf unategemea worst traffic itaisha na nairobi alone ina population over 4.5m 🤣🤣
And yet the busiest road haipitishi more than 70k vehicles per day 2023!!!😂😂😂😂😂
 
And yet the busiest road haipitishi more than 70k vehicles per day 2023!!!😂😂😂😂😂
kwani dar ina barabara moja hio morogoro road inapitisha over 100k vehicles a day wachana na barabara zingine kama nyerere road au kilwa road au uhuru road etc tukiwaambia dar ni kubw amara tatu ya nairobi muelewe tunamaanisha nn 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Bandari ya kenya inakuja kushangaa uwanja wa azam complex 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom