ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,359
- 88,446
Ww ni chizi kabisa in 2012 dar alone ilikua ina over 1m vehicles 🤣🤣🤣👇👇👇👇East Africa: fleet of operating vehicles in 2020 | Statista.
Enda usome hapo.
I'm sure Statista list their sources
Hii kitu sio ya kuchukulia pia kabisa ! Ni dhahiri wameshindwa kuwadhibiti hawa wasomali.Wapo congo wanapiga picha [emoji1787][emoji1787]
Wanatakiwa wapungue, wapo wengi sana watatupa shida kuwalisha wazembe hawa.Hii kitu sio ya kuchukulia pia kabisa ! Ni dhahiri wameshindwa kuwadhibiti hawa wasomali.
Wanahitaji msaada kwa kweli. Jamaa wanawaua sio mchezo ! Inasikitisha sana.
sasa humu kama mlifanya akakosa kupumua unadhani angefanyaje? joto la jiwe ndo sababu!Tony254 yupo skyscraper city anajiliwaza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2706980
Planning wakati Majengo yameshasimikwa kabla ya kusimamahii story since 2016 ni planning tu..