Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

KvsT-SGR.png
 
Kijana wangu ChoiceVariable waambie hawa jamaa zako waache upuuzi, kwanza sijui namba na majina yangu wameyatoa wap? Na wasilazimishe kukubaliana na matakwa yao. Afu hii mbinu walioitumia kuwalazimisha watu ndo inazid kumwangusha mama.
Chema chajiuza, kibaya chajitembeza!
View attachment 2702519
Mbona wanatumia nguvu kubwa sana kwenye hii issue....au walishasainishana kitambo?
Kama watu wanalamika si waachae nao tu...
 
Hawezi kujibu, Russia accounts to only 1% of foreign investment in Africa
Hebu tueleze wewe mjuaji urusi ana faida gani barani Africa apart na kutuma mercenaries na silaha?
Labda utuambie hana mchango na kenya lakini sio africa mzee, ww tuambie sera zenu ni tofaut hapo sawa lakini sio africa out of 49 contries wameenda ispokua nchi nne wakiwemo na nyinyi wabinafsi ndio maana ukabila unawatafuna 😅😅😅

Ikiwa russia kasamehe madeni kwa africa ya over 23b usd ww unaona jambo dogo hilo na anachokitaka russia ni uhusiano mzuri na nchi za africa hapo shida iko wapi?

Nyinyi tulieni muone dunia inaenda wapi alaf tutakuja kuongea lugha za kikabila hapa machizi nyinyi 😅😅😅😅

Na hua munakua wakali mukiambiwa ukweli
We dwanzi hebu break down hio $23b uone ulivyo mjinga.. usitulazimishie huo ujinga wako wa kuabudu madikteta, urusi ana mchango mdogo sana barani Africa na sana sana kwetu Kenya. Trade value ya urusi na afrika haifiki hata 5% ya trade between africa na EU au uchina. Hatuna haja na huo uhusiano
 
Hahaha hata kama sio kwenu kitendo cha kusamehe tu hamuwez kua nayo mpaka dunia inasmama kwa roho zenu mbaya zilizojaa ukabila 🤣🤣🤣🤣🤣

Kwasababu hamukwenda haibadilishi maana waliokwenda wanataka kufungua ukurasa mpya na russia ikiwemo economically, socially, politically etc yani mutakuja kuelewa dunia wapi inakwenda baada ya chupi zenu kujaa uharo na mikojo

Nilishakwambia ukiitaja china tu ujue nyuma ya technology yuko mrusi hahahaha
 
Hahaha hata kama sio kwenu kitendo cha kusamehe tu hamuwez kua nayo mpaka dunia inasmama kwa roho zenu mbaya zilizojaa ukabila

Kwasababu hamukwenda haibadilishi maana waliokwenda wanataka kufungua ukurasa mpya na russia ikiwemo economically, socially, politically etc yani mutakuja kuelewa dunia wapi inakwenda baada ya chupi zenu kujaa uharo na mikojo

Nilishakwambia ukiitaja china tu ujue nyuma ya technology yuko mrusi hahahaha
Hebu tueleze nyinyi mumesamehewa deni kiasi gani
 
Hebu tueleze nyinyi mumesamehewa deni kiasi gani
Hvi ww tanzania na urusi unaijua historia yake vzr ?? Hujui kama putin alipokua kijana aliwah kuja bagamoyo kwa mafunzo ya kijeshi au?? 🤣🤣🤣 ww unaifananisha tanzania na kenya kwenye uhusiano na urusi nchi kama libya na somalia zote zimesamehewa madeni huoni ni faraja kwa africa au nyinyi ni wabinafsi chakwenu ni chakwenu tu hamuna utu ndio maana wakat africa inatafuta uhuru mulijitenga na africa yote mukajifanya munajua sana biashara na tulitegemea labda mungekua level moja na singapore hvi ila sasa zimbabwe ina nafuu mara 100🤣🤣🤣🤣 according to world bank👇👇

Huwez kujua historia ya tanzania na russia kwasababu akili zenu zimekaa kutukuza makabila na upuuzi 😅😅😅😅

Hio picha peleka Facebook kwa wajinga wenzako, 1975 Putin was 21yrs and still in university. Mnangawa was in prison, frelimo leaders returned to Mozambique.
 
Hvi ww tanzania na urusi unaijua historia yake vzr ?? Hujui kama putin alipokua kijana aliwah kuja bagamoyo kwa mafunzo ya kijeshi au?? 🤣🤣🤣 ww unaifananisha tanzania na kenya kwenye uhusiano na urusi nchi kama libya na somalia zote zimesamehewa madeni huoni ni faraja kwa africa au nyinyi ni wabinafsi chakwenu ni chakwenu tu hamuna utu ndio maana wakat africa inatafuta uhuru mulijitenga na africa yote mukajifanya munajua sana biashara na tulitegemea labda mungekua level moja na singapore hvi ila sasa zimbabwe ina nafuu mara 100🤣🤣🤣🤣 according to world bank👇👇

Compare and contrast,,

Zimbabwe extreme poverty 7million
Kenya extreme poverty 7.8 million
Tanzania extreme poverty 26million
 
Back
Top Bottom