Hawa middle class wa bed sitters imekuaje tena mpaka kufikia maisha ya hand to mouth!!?Hii habari unayo??

Hawa middle class wa bed sitters imekuaje tena mpaka kufikia maisha ya hand to mouth!!?Hii habari unayo??

Kusudi lake ni nini?
Haya yote yanatoka wapi? Mimi nimeuliza swali kwasababu I was GENUINELY interested to know the purpose of the tower. Nimekosoa nini? Kama huna maisha nje ya JF au vitu vingine vya muhimu kufanya tafadhali get yourself busy.Huyo jama Walker ni ka choko huyo mwana, unaulizaje kuhusu mnara wa mashujaa upo kwaajili gani.? Mbona asiulize kuhusu Eiffel tower upo kwa purposes zipi au statue of liberty ipo kwa purposes zipi.? 😂😂😂 Jamaa ni li much know sana kila kitu linataka kukosoa. Sijui halioni kitendo tu cha kuweka monument ni unique identification ya sehemu fulani.?
Mkuu hii ni highway lakini ni vile bado haijawa connected na Njombe na Ruvuma ndio maana inaonekana kana kwamba Haina traffick ila Ina Malori mengi maana inapita eneo productive sana.Shakahola hawawezi kujenga mtandao wa lami kwenye low population areas kama hizi, visingizio vya kipumbavu kweli!
View attachment 2698829View attachment 2698830
Vibarabara vibovu na local no even sidewalks
Kusudi lake ni nini?
Tazama towers zenye purpose
CN Tower, Toronto, Canada
Ni telecommunications tower na pia ina observation deck na restaurant (continuous stream of income)
View attachment 2699242
The Space Needle, Seattle, WA, USA
Observation tower with restaurants and other attractions
View attachment 2699243
Kwani kale kadaraja kamesombwa na mawimbi ama?Utasema wanabebwa mbuzi na kondoo🤣
View attachment 2699436
Sasa wewe kwa akili yako unadhani telecommunication companies hawatataka ku-hire the top spot kuweka mast? halafu hiyo tower inakuja na meeting facilities na restaurants!Kusudi lake ni nini?
Tazama towers zenye purpose
CN Tower, Toronto, Canada
Ni telecommunications tower na pia ina observation deck na restaurant (continuous stream of income)
View attachment 2699242
The Space Needle, Seattle, WA, USA
Observation tower with restaurants and other attractions
View attachment 2699243
Wacha waendelee kuuana sisi tunajenga nchi tu, kama Joburg mwanangu









Itapendeza sana hii, nafikiri hata marais watakuwa wanaapishwa hapa, very professional aisee.
Huyo tangu alipokosolewa akaasi kabisa, akawa anakosoa kila kitu cha Tanzania.Sasa wewe kwa akili yako unadhani telecommunication companies hawatataka ku-hire the top spot kuweka mast? halafu hiyo tower inakuja na meeting facilities na restaurants!














ni white elephant bro iko mbali sana 🤣 🤣 🤣 🤣 huoni hata siku hzi hawana time nayoKwani kale kadaraja kamesombwa na mawimbi ama?
mwingine ananiuliza purpose yake ni nini?😄😄😄😄Itapendeza sana hii, nafikiri hata marais watakuwa wanaapishwa hapa, very professional aisee.