Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Tulishawapa onyo, ngoja Indiana company waione
Tuonyeshe wapi imevunjwa kiherehereTulisema sisi hii ni white elephant 🤣🤣🤣🤣
Uhahahhahaha huamini habari zenu kwani?🤣Tuonyeshe wapi imevunjwa kiherehere
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sawa budaaHata iwe 2000 haina noma🤣🤣🤣
😂 cheki hiyo foleni ya mizigo inayotaka Tz kupeleka kwa hawa lazy neighbors. 👇.
Kwa akili yako hizo telecom companies zimekupa taarifa kuwa wana mipango ya kuweka facilities zao kwenye hiyo tower? Tangazo la ujenzi limetoa fact moja pekee kuwa itakuwa tower yenye kimo kirefu zaidi Afrika na mimi lengo langu ni kutambua fursa zitakazopatikana kwenye huo ujenzi. Mtu anauliza swali la msingi lakini jitu zima kama Wewe unashindwa kutumia hekima kutoa jibu Au kukaa kimya kwasababu huna uhakika na kitu Unachozungumza. Huna staha mpuuzi Wewe Geza UloleSasa wewe kwa akili yako unadhani telecommunication companies hawatataka ku-hire the top spot kuweka mast? halafu hiyo tower inakuja na meeting facilities na restaurants!
Hebu tueleze wewe mjuaji urusi ana faida gani barani Africa apart na kutuma mercenaries na silaha?Map of Africa showing countries that attaended the Russia Africa summit (green) and those that didn't (red)
Kenya na hao takataka wenzao washakuwa ignored na RussiaView attachment 2701919
Hawezi kujibu, Russia accounts to only 1% of foreign investment in AfricaHebu tueleze wewe mjuaji urusi ana faida gani barani Africa apart na kutuma mercenaries na silaha?
Same stuff sema una phases!Hii safi sana.
Ila kuna ule mradi mwingine ulikuwa uendelezwe pale Msimbazi sijui uliishia wapi (MODERN CITY PARK AT MSIMBAZI).
Okay. Ila ukifanyika pale Jangwani patakuwa pa moto mkuuSame stuff sema una phases!




Wewe ni taahira! Ficha ujuaji!Kwa akili yako hizo telecom companies zimekupa taarifa kuwa wana mipango ya kuweka facilities zao kwenye hiyo tower? Tangazo la ujenzi limetoa fact moja pekee kuwa itakuwa tower yenye kimo kirefu zaidi Afrika na mimi lengo langu ni kutambua fursa zitakazopatikana kwenye huo ujenzi. Mtu anauliza swali la msingi lakini jitu zima kama Wewe unashindwa kutumia hekima kutoa jibu Au kukaa kimya kwasababu huna uhakika na kitu Unachozungumza. Huna staha mpuuzi Wewe Geza Ulole
Ujuaji wangu umefichua ujinga ulionao. Kwahiyo sitauficha popote. Kama umeumia basi ni tarajio langu utaendelea kuumia.Wewe ni taahira! Ficha ujuaji!
Wewe tulia ujenzi uishe wacha kelele!Ujuaji wangu umefichua ujinga ulionao. Kwahiyo sitauficha popote. Kama umeumia basi ni tarajio langu utaendelea kuumia.
It isn't lazy tanzanians only who are obsessed with us, south africans have also joined our politics
Hii ikifanikiwa, nitakunywa sumu Ili nisiwepo dunianiHabari mbaya Sana kwa watoto wa suluhu


