ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
sio tu typical thirld world city pia ni slums city world wide😀😀😀😀😀😀Hawa washamba wanashinda mitandaoni kuandika utumbo wakati ndugu zao wameng'ang'ania huku hawataki kurudi kwao huko halafu wanajidai kuna maisha mazuri! Yaani ukiwasoma hawa jamaa humu unaweza ukafikiri Nairobi ni kama New York fulani vile kumbe ni typical third world city!