Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na hii ndio thread hawaipendi maisha kwasababu imefichua aibu zao wamekua tena ni watu wasioweza kudanganya na wamekua waoga sana lakini kwa upande mwengine ndio thread pekee iliowafungua macho na wakatambua kumbe jua halichomozi kenya pekee bali ni kila nchi duniani
Binafsi niwashukuru watanzania wenzangu wote humu ambao mmekuwa mfano mzuri wa kulitetea taifa letu na kulisemea mema kwa kipindi kirefu na bado mnaendelea kuelimisha wengine Mungu awabariki sana. Viva Tanzania viva taifa letu Tunalipenda kwa moyo wote.
 
Shakahola hawawezi kujenga mtandao wa lami kwenye low population areas kama hizi, visingizio vya kipumbavu kweli!

20230725_175012.jpg
20230725_175008.jpg
 
Huyo jama Walker ni ka choko huyo mwana, unaulizaje kuhusu mnara wa mashujaa upo kwaajili gani.? Mbona asiulize kuhusu Eiffel tower upo kwa purposes zipi au statue of liberty ipo kwa purposes zipi.? 😂😂😂 Jamaa ni li much know sana kila kitu linataka kukosoa. Sijui halioni kitendo tu cha kuweka monument ni unique identification ya sehemu fulani.?
 
Back
Top Bottom