joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
As vita watacheza friendly na Yanga piaBaada ya timu za Kenya kuchagua Tanzania kutokana na kuwepo kwa viwanja vizuri, DRC nao wanakuja Bongo
![]()
AS Vita kuweka kambi siku 14 Dar
Kikosi cha AS Vita ya DR Congo kipo njiani kuja nchini Tanzania kuweka kambi ya siku 14 kujiandaa na msimu mpya. Vita wakiwa hapa wanataka kuweka kambi yao jijini Dar es Salaam ikiwa ni ushauri...www.mwanaspoti.co.tz
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Bado wakunya wanatumikia "ban" ya FIFA au ni ukata ndio umewafanya kushindwa kushiriki?
Nadhani itakua hivyoAs vita watacheza friendly na Yanga pia
🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe Samia alienda kuwasuluhisha Nabii akalala mbele 😆😆View attachment 2698615
Mda unaongeaTuliwaambie watupe muda tuonyeshe hapa hapafai kuwa na vumbi.
View attachment 2698601
View attachment 2698603
View attachment 2698604
View attachment 2698605
View attachment 2698606
View attachment 2698607
View attachment 2698608