Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
Pole sana,Hamna bullet train inayokimbia 160km/h
Pole sana,Hamna bullet train inayokimbia 160km/h
Kwani Kuna mtu kakwambia hiyo ni bullet Train? Hiyo ni Electric Multiple Unit.Kwana ni well balanced,Comfortable and fasta.Hamna bullet train inayokimbia 160km/h
Hivi wewe Huwa uko na akili kweli?, Kwamba "Kenya has the best musicians in Africa". Hapa East Africa Kenya haina hata "musician mmoja ambaye anaingia "top ten".Kwahivyo diamond ndo kipimo cha entertainment duniani? Kama hauna empirical data jua tu hauna point yeyote.
Atatuletea kunguni wa Gorogocho!Ngoja zikifika, utakuja kupima mwenyewe!!
Sijakataa kuwepo kwa hayo maduka ya fedha, tatizo liko kwenye uholela wa kuyaruhusu ya mee kama uyoga. Hiyo pesa za plea bargain ni ipi?si sababu ya msingi kuzuia Bureau de Change kama unafanya utalii! Nakataa! Hebu tuambie zile fedha za Plea Bargaining zilifikaje Uchina?
Majibu yako haya hapa wewe chokoUjenge standard gauge railway alafu utarajie bullet train ipite juu. Watanzania kweli wana IQ ya chini dunianiView attachment 2697541View attachment 2697542

Ya passengers hii hapa unataka nyingine au umeridhika na mkwaju huu?Tuonyeshe wapi imeandikwa cargo na pia tuwekee hio ya passengers.
Naona umeuliza swali halafu unajijibu mwenyewe hii ni dalili mojawapo ya kuchanganyikiwaBullet train speed ya 160km/h![]()



Hizo ngombe zenu sio multiple units ni locomotive pulled trains.Diesel Kenya SGR
120km/h
Rolling stock of the standard gauge railway line
Multiple unit passenger trains having a capacity of 960 passengers operate at an average speed of 120km/h on the line.
Hauna point pumzika, siku mkitushinda kwa media revenue njoo unitag. Nimefunga huu mjadalaHivi wewe Huwa uko na akili kweli?, Kwamba "Kenya has the best musicians in Africa". Hapa East Africa Kenya haina hata "musician mmoja ambaye anaingia "top ten".
Hivi Kenya Kuna mwanamziki gani?, iweje kwenye media zenu zote huko Kenya "top ten" zinazo trend zimetawaliwa na Bongo flava?.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wenzako wanalalamika kwamba watanzania wanatawala Kenya kimziki, Bahati anataka wakenya kuungana kupambana na TanzaniaHauna point pumzika, siku mkitushinda kwa media revenue njoo unitag. Nimefunga huu mjadala


