ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,421
- 88,513
Meanwhile 😂😂😂😂Do you see a pattern, kuna watu watalia sana🤣🤣🤣🤣View attachment 2697548View attachment 2697549View attachment 2697550
Meanwhile 😂😂😂😂Do you see a pattern, kuna watu watalia sana🤣🤣🤣🤣View attachment 2697548View attachment 2697549View attachment 2697550
Jeshi maarufu kwa kupiga picha[emoji41]
yani hata akili ya kuvukia barabara huna tangu lini unafananisha cargo na passenger 🤣 🤣 🤣Ujenge standard gauge railway alafu utarajie bullet train ipite juu. Watanzania kweli wana IQ ya chini dunianiView attachment 2697541View attachment 2697542
kwanza hizi ulifurahia au?🤣🤣🤣🤣Ujenge standard gauge railway alafu utarajie bullet train ipite juu. Watanzania kweli wana IQ ya chini dunianiView attachment 2697541View attachment 2697542
Tuonyeshe wapi imeandikwa cargo na pia tuwekee hio ya passengers.yani hata akili ya kuvukia barabara huna tangu lini unafananisha cargo na passenger 🤣 🤣 🤣
Hilo linyang’au limejaa wivu kweli kweli😎😎yani hata akili ya kuvukia barabara huna tangu lini unafananisha cargo na passenger 🤣 🤣 🤣
Wamekuja kujifunza Kwa baba Yao Tzn 😁😁
Kwa hiyo mumekuja kuchezea Kodi za hustlers au? 😆😆Kenya hatuna large mineral deposit hakuna kitu cha kujifunza.
View attachment 2697581
Tuonyeshe wapi imeandikwa cargo na pia tuwekee hio ya passengers.
Happy now 🤣🤣🤣🤣Tuonyeshe wapi imeandikwa cargo na pia tuwekee hio ya passengers.
haha wanahangaika kweli mpaka huruma 🤣 🤣 🤣 🤣Hilo linyang’au limejaa wivu kweli kweli😎😎
Turkey na tanzania ni dunia mbili tofauti, hicho kichwa kinaweza vuta both passengers or cargo. Tuonyeshe wapi TRc wameandika Cargo.
nakuonesha kazi zake ni nini 🤣🤣🤣🤣 shida yako unataka kulazmisha chumvi kua sukari kama unataka kuona za passengers just wait broTurkey na tanzania ni dunia mbili tofauti, hicho kichwa kinaweza vuta both passengers or cargo. Tuonyeshe wapi TRc wameandika Cargo.
wacha kijiba wewe locomotives za mchongo zaja! Tuliza ball!Turkey na tanzania ni dunia mbili tofauti, hicho kichwa kinaweza vuta both passengers or cargo. Tuonyeshe wapi TRc wameandika Cargo.
😆 😆 😆 😆 😆 😆