Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,701
- 107,146
si sababu ya msingi kuzuia Bureau de Change kama unafanya utalii! Nakataa! Hebu tuambie zile fedha za Plea Bargaining zilifikaje Uchina?Ona matatizo ya deregulation ya serikali ya Samia na utakashaji wa fedha kwenye Bureau de change, sasa hivi dollar moja ni sawa na Tsh 2450. Magu kwa miaka 5 alibaki kati ya Tsh 2200 na 2300.