Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji24]


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
hii lazima itakuwa ni kunyaland[emoji23][emoji23] tuu
Screenshot_20230713-151719.jpg
 
Ruiru ni kiambu county so?? [emoji28][emoji28][emoji28] ukiambiwa nairobi ni ndogo sana kubali
696km sq my friend au ni uongo
View attachment 2685254



Na mlolongo iko machakos county kwann unakua muongo hvi ukidanganya watu unapata nn au unashiba ???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2685257
Siyo muongo inawezekana hata geographia ya country yake haijui ama yupo vijijini huko nairobi huwa anaisikia tu na kuiona kwa picha,

Na siyo yeye tu inawezekana wakenya wengi wsliopo humu ni wavijijini huko hawaijui nairobi vyema hivyo huingia kwaajili ya kubishana kwa kujifanya wanaishi nairobi,hivyo hayp yote unayoyaona ni matokeo yakuargue na watu ambao siyo wenyeji wa nairobi
 
Tangu lini mukaendesha magari left hand side hvi nyinyi mbona mumekaa kama kondoo kazi kudanganywa na kuswagwa na wanasiasa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Yani ukitaka kunidanganya mm ufanye kazi kweli kweli yani ujitoe haswa [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2685266
Ishu siyo kudanganya,huyo hakuna anachoelewa
 
Back
Top Bottom