Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Beautiful Nai….
FD6BBD8D-4D20-43B0-AD31-540A845CDCDA.jpeg
 
Who recognizes that place?… am guessing Boma hotel south C… I could be wrong though
 

Watu wanazungumzia ku decongest Dar Port wewe unaleta porojo za Magufuli na blaa blaa za Barabara..

Hichilema ametumia tuu lugha lakini ila issue ni inefficiency hasa ya urasimu,waiting time nk..

Ngoja watusaidie kupunguza Kwa kuhamisha half of their cargo ndio akili zitakuja na hivi hamtaki DP World aje ambae Yuko huko Angola moto unakuja..

Usisahau Beira Port ndio Iko strategic zaidi kuliko Bandari ya Dar kiasi kwamba tutabakiwa na Vinchi vya Burundi na Rwanda labda na North East DRC pekee.

Mwisho tukuze uchumi Wetu Ili Bandari zetu zitegemee zaidi cargo ya ndani kama Mombasa kuliko wa Nje ambao Kwa sehemu kubwa hatuna advantage kigiografia kuizidi Beira Port.
 
Zambia ndio wanatukwamisha tukitaka ku upgrade systems kuongeza ufanisi mpaka tujadiliane nao wakubali ndio maana Mwakyembe alisema ni bora kila mtu abaki na kipande chake.
Kama Kuna uwezekano huo ni bora tu kwenda na utaratibu huo.

Kule mpakani tunawawekea ICD kubwa Kwa ajili ya mizigo ya DRC na Zambia. Hapo Tunduma lami inachakaa ndani ya mwaka tu sababu ya hayo malori.

BTW.. Nasikia Kuna mchakato wa kujenga barabara ya zegee huko saiv.
 
Huyu mama usikute anaenda kuchemsha hayo maua kama sukuma 🙂 dah mashakahola hawapumziki mara zakayo mara baba mara Makenzie, ninyi mna laana

View attachment 2686199
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 kwamba anaenda kupiga kitu VEGETABLE SOUP? 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom