ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ogopa njaa mzee hawa watu nikama wamekua wehu sababu ya njaa yani hajui hata faida na maana ya zebra crossing yeye anawaza pedestrian bridge ambazo kwao sasa hvi zimegeuka kua vyoo vya binaadamu na wanyama 😁😁😁😁😁ichoboy01 chek hizi ni nchi zilizoendelea duniani ambazo kenya hautawahi fika level of their development until the end of this worl na zebra cross zipo everywhere 👇View attachment 2683799View attachment 2683801View attachment 2683804View attachment 2683805.. hii ni huko duniani kwa wanaowagea misaada .. wao akina BlietzKrieg. Wanaona kuweka pedestrian bridges everywhere ndio maendeleo 🤣🤣🤣
Ona maajabu ya karne sasa👇👇


