Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eastleigh
IMG_20230709_215518.jpg
 
Hizi zebra crossing zinafanya Nini hapo?
Ama pesa ya pedestrian bridge Hakuna!!! Plus kwani barabara Haina lights till now!!! Giza
Na vilema watapanda vipi kwenye hzo pedestrian bridge ww hujiulizi kwann pedestrian bridge zenu zimefeli zingine zimekua makazi ya mbuzi na ngombe au nikuoneshe ushahidi?😅😅😅😅😅
 
Na vilema watapanda vipi kwenye hzo pedestrian bridge ww hujiulizi kwann pedestrian bridge zenu zimefeli zingine zimekua makazi ya mbuzi na ngombe au nikuoneshe ushahidi?😅😅😅😅😅
Kuwa mtanzania ni laana enyewe.
Soma chenye umeandika.
 
Back
Top Bottom