Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tazama urefu wa lami kwenye haka kasehemu ka Nairobi
View attachment 2683959
Alafu ulinganishe na dar
View attachment 2683960

Narudia, Nairobi ina lami mara 20 ya dar if not more
Wewe jamaa kweli unaliwa wewe si bure, Kwahyo unalinganisha streets roads network vs regional road network. 🤣🤣🤣 Urefu wa barabara moja in dar ni zaidi ya urefu wa barabara zote zinazoonekana kwenye hiyo ramani uliyoweka kichaa wewe 🤣🤣
 
😂😂😂 Hayajui hata tofauti ya streets, avenues na roads 🚮
 
Tazama urefu wa lami kwenye haka kasehemu ka Nairobi
View attachment 2683959
Alafu ulinganishe na dar
View attachment 2683960

Narudia, Nairobi ina lami mara 20 ya dar if not more
Screenshot_20230710-161250.jpg
images (13).jpeg
 
Mmmmmmmmaeeeeee Hi si unafika ofisini unanuka kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣, Ndio maana wanaombewa wasiende hell maana tayari wameishi hell maisha yao yote . Rangi ya taka tu inaonyesha zimedumaaa hapo muda mrefu yaani ni kipindupindu kila moja anapeleka nyumbani, ofisini na popote watakapogusa au kukanyaga, yaani ni wasambazaji wa taka hawa wahuni 🤣🤣🤣🤣🤣
ogopa njaa mzee ni hatari kuliko corona kwanza hayo machuma ya daraja wanayokumbatia ni full tetanus alaf hvo viatu vitafika ofsini vina fungus kilo 20 😀 😀 hakuna mganga anaeza waombea waende jahanam wakat walipo ni zaidi ya jahanam yenyewe, ndio maana hata shetani hashughuliki sana kwao kwakua kashateua watu kumwakilisha kama kina mackenzie
 
Back
Top Bottom