Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

joto la jiwe mm narudia yale yale maneno yangu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] haki za binaadamu na mahakama ua ICC iko kwa ajili ya africa na maadui zao na wanatumia kama kivuli cha kuficha uchafu wao duniani

Ufaransa ingekua ni africa na vikwazo vya kiuchumi ungeviskia na propaganda za kila aina lakini ndio kisu kimegusa mfupa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Mbona Saudia haikuwekewa vikwazo vya uchumi ilipopeleka genge la wauaji Uturiki kumuua Jamal Khashoogi?, mbona Rwanda haikuwekewa vikwazo ilipopeleka watu kumuua Patric Karegeya huko South Africa?.

Mbona Kenya polisi wanaua waandamanaji kwenye maandamano lakini hawawekewi vikwazo?. Mwaka Jana polisi wa Kenya walimpiga risasi na kumuua yule mwanahabiri wa Pakistan katika kizuizi Cha barabarani, tukio lenye kufanana na Kama hili la Ufarasa, mbona hakuna maandamano Wala mtu yeyote aliyesema kuhusu haki za binadamu?, lakini likitokea Ulaya ndio unataka haki za binadamu?, Mkuu upo biased na Chuki zisizokua na msingi dhidi ya nchi za Magharibi.

Wewe ni mfano mzuri wa waafrika wengi ambao badala ya kutazama matatizo ya ndani ya Afrika na kuyatafutia ufumbuzi, wamabaki kucheza "blame game" na kusingizia nchi za Ulaya kwa Kila tatizo la Africa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ukiona hawajaekewa vikwazo basi ujue na wao wanahusika vile vile yani hakuna ovu duniani alaf mzungu asiwepo nyuma hakuna kila vita dunia hii nyuma yake yupo mzungu 😅😅😅😅

Leo hii sioni hata media zao zikionesha yanayoendelea ufaransa ni kwann??? Kwann hatuoni propaganda zao sasa au kwa vile kisu kimegusa mfupa 😁😁😁

Bro acha kutete waovu wa dunia hii hata mtoto wa miaka 2 atakushangaa leo hii
 
joto la jiwe

Hii ndio haki za binaadamu au sio ingekua ni africa kwanza propaganda za dunia nzima ungeziskia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] na vikwazo vya kila aina

Mkuu, ninaanzs kuwa na wasiwasi na wewe, usijishushe kiasi hili utapoteza heshima yako mkuu. Mkuu hii ni" crime act" Kama inavyotokea Somalia, DRC na hapo Kenya, juzi Kule Lamu watu watano wameuliwa na "criminals", Sasa jambazi au watu wabaya wakifanya mambo ya hovyo, unalaumu vipi haki za binadamu?.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sijaona CNN wala BBC wala ushuzi wao wakionesha matukio ufaransa😅😅😅
 
Ukiona hawajaekewa vikwazo basi ujue na wao wanahusika vile vile yani hakuna ovu duniani alaf mzungu asiwepo nyuma hakuna kila vita dunia hii nyuma yake yupo mzungu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Leo hii sioni hata media zao zikionesha yanayoendelea ufaransa ni kwann??? Kwann hatuoni propaganda zao sasa au kwa vile kisu kimegusa mfupa [emoji16][emoji16][emoji16]

Bro acha kutete waovu wa dunia hii hata mtoto wa miaka 2 atakushangaa leo hii

Ni Chombo gani Cha habari Cha nchi za Magharibi ambacho hakijaripoti haya maandamano na fujo zinazoendelea huko Ufaransa?, taja Chombo chochote kikubwa nikuwekee video yake hapa uone jinsi wanavyoripoti haya maandamano?

Mkuu, inaonekana una asili ya waarabu, kwasababu waarabu lazima wajitahidi kuwashambulia wazungu kwa Kila jambo hata Kama hakuna sababu za msingi, "Please declare your interest, don't hide".

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, ninaanzs kuwa na wasiwasi na wewe, usijishushe kiasi hili utapoteza heshima yako mkuu. Mkuu hii ni" crime act" Kama inavyotokea Somalia, DRC na hapo Kenya, juzi Kule Lamu watu watano wameuliwa na "criminals", Sasa jambazi au watu wabaya wakifanya mambo ya hovyo, unalaumu vipi haki za binadamu?.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ikitokea somalia au sudan tunaambiwa haki za binaadamu na wanaweka na vikwazo kabisa wengine wanapeleka mpaka vifaa vya kivita kwa upande wenye maslahi nao

Bro hii dunia kila kitu kipo wazi haitaji kupiga ramli kujua ukweli wowote 😅😅😅😅

Issue ya ufaransa ina miezi mingi sana lakini sijaona media yoyote kutoka kwao ikionesha issue ufaransa hakuna 😁😁😁 hapa ndio utajua kisu kimegusa mfupa
 
Ni Chombo gani Cha habari Cha nchi za Magharibi ambacho hakijaripoti haya maandamano na fujo zinazoendelea huko Ufaransa?, taja Chombo chochote kikubwa nikuwekee video yake hapa uone jinsi wanavyoripoti haya maandamano?

Mkuu, inaonekana una asili ya waarabu, kwasababu waarabu lazima wajitahidi kuwashambulia wazungu kwa Kila jambo hata Kama hakuna sababu za msingi, "Please declare your interest, don't hide".

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ww tafuta chombo chao kinaonesha matukio haya kiundani unioneshe hapa 😅

Wala issue sio uarabu issue ni ile haki za binaadamu tunayoitafuta hapa na chimbuko lake na hua iko kwa sababu zipi 😅
 
Ikitokea somalia au sudan tunaambiwa haki za binaadamu na wanaweka na vikwazo kabisa wengine wanapeleka mpaka vifaa vya kivita kwa upande wenye maslahi nao

Bro hii dunia kila kitu kipo wazi haitaji kupiga ramli kujua ukweli wowote [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Issue ya ufaransa ina miezi mingi sana lakini sijaona media yoyote kutoka kwao ikionesha issue ufaransa hakuna [emoji16][emoji16][emoji16] hapa ndio utajua kisu kimegusa mfupa

Mkuu, damu ya waarabu inakunyima uwezo wa kuangalia mambo kwa haki, umeegemea Sana waarabu mkuu, hao CNN ni Chombo Cha nchi gani?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, damu ya waarabu inakunyima uwezo wa kuangalia mambo kwa haki, umeegemea Sana waarabu mkuu, hao CNN ni Chombo Cha nchi gani?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Hiki hapa mkuu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

tunataka kuona haki za binaadamu ziko wapi haki zile ambazo zinapigiwa kelele africa na vikwazo vya kiuchumi juu tunataka kuona pia kwao kua kuna haki za binaadamu 😅😅😅😅

Isichukuliwe haki za binaadamu ni africa na juu ya hapo wanaweka na vikwazo juu

Tunataka kuona ile haki inayoimbwa africa kwao iko wapi?? Nani anaismamia ?? Hatua gani zinachukuliwa au vikwazo vya kiuchumi anaekewa na nani?? 😅😅😅😅😅
 
Ww tafuta chombo chao kinaonesha matukio haya kiundani unioneshe hapa [emoji28]

Wala issue sio uarabu issue ni ile haki za binaadamu tunayoitafuta hapa na chimbuko lake na hua iko kwa sababu zipi [emoji28]
Mkuu, jisafishe mbele za watu kutokana na Chuki dhidi ya nchi za Magharibi, vinginevyo tutaanza kuamini kwamba Chuki zako Zina chembechembe za uarabu ndani yake.

Back
Top Bottom