Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu, jisafishe mbele za watu kutokana na Chuki dhidi ya nchi za Magharibi, vinginevyo tutaanza kuamini kwamba Chuki zako Zina chembechembe za uarabu ndani yake.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Issue sio chuki issue haki ziko wapi?? 😅😅
Mm kuna siku nilisema wazi kabisa haki za binaadamu ni za africa tu na wanatumia hio slogan kuficha maovu yao ndio maana unaona kwao watu wanatandikwa ipasavyo na kuuliwa lakini hzo haki za binaadamu hutaziskia mpaka dunia itasmama

Lakini issue hii inaoyotokea ufaransa ingekua ni moja wapo ya nchi za africa au adui yao ungeskia mpaka vikao vya umoja wa mataifa unakaa kuweka na vikwazo wakisingizia haki za binaadamu 😅😅😅

Hebu pata picha ndio ingekua uganda hali ingekuaje ulimwenguni??😅😅😅

tunataka kuona haki za binaadamu ziko wapi haki zile ambazo zinapigiwa kelele africa na vikwazo vya kiuchumi juu tunataka kuona pia kwao kua kuna haki za binaadamu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Isichukuliwe haki za binaadamu ni africa na juu ya hapo wanaweka na vikwazo juu

Tunataka kuona ile haki inayoimbwa africa kwao iko wapi?? Nani anaismamia ?? Hatua gani zinachukuliwa au vikwazo vya kiuchumi anaekewa na nani?? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu usibadilishe goli, ulisema hakuna Chombo Cha CNN Wala BBC kilichoripoti maandamano, umewekewa Sasa unarukaruka.

Mkuu wewe unataka kuhamisha Chuki za waarabu na wazungu kuzifanya ndio Mtaji wako, hatukubali utuingize katika vita vya waarabu na wazungu mkuu, tumekustukia.Tanzania tulishatoka huko mkuu, badilika.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
I agree these stadiums are of low quality, Lakini Hebu fikiria, zikiisha zote 50, maanake ni kuwa vilabu vyote vya mpira nchi ligi kuu na dogo, kila timu itakuwa na uwanja wake. Kwa sahivi, karibia 20 vinamaliziwa.

Muhimu hapa, ni kuinuwa viwango vya mchezo nchini, kupata mashabiki, kisha vipandishwe hadhi baadaye.
HomaBay
View attachment 2675975
Kisumu
View attachment 2675979
KAKAMEGA
View attachment 2675980
And many more!!
You can have playing grounds but if money does not flow to the game ni kazi bure kujaribu kuinua kiwango cha mpira wa miguu Kenya.

Money comes from a performing economy not otherwise
 
Imagine with all this problems you mentioned, Kenya is still the richest country in the region, yiu wonder where Tanzania lags behind. there is nothing a Tanzanian can tell a Kenyan
We can teach you how to farm and be self sufficient on food, how to resolve your differences amicably, how to put to rest the ghost of tribalism and many more things including maintaining economic data fidelity [emoji16]
 
I agree these stadiums are of low quality, Lakini Hebu fikiria, zikiisha zote 50, maanake ni kuwa vilabu vyote vya mpira nchi ligi kuu na dogo, kila timu itakuwa na uwanja wake. Kwa sahivi, karibia 20 vinamaliziwa.

Muhimu hapa, ni kuinuwa viwango vya mchezo nchini, kupata mashabiki, kisha vipandishwe hadhi baadaye.
HomaBay
View attachment 2675975
Kisumu
View attachment 2675979
KAKAMEGA
View attachment 2675980
And many more!!
Kwa style hii hamtoweza kuandaa AFCON mana mpk sasa hamna kiwanja hata kimoja kinachoweza ku host AFCON, viwanja kama hivyo huku kwetu havijengwi na serikali bali vinajengwa na timu ndogo ndogo za mitaani ila maajabu nyie kwenu vinajengwa na county govts.
 
I agree these stadiums are of low quality, Lakini Hebu fikiria, zikiisha zote 50, maanake ni kuwa vilabu vyote vya mpira nchi ligi kuu na dogo, kila timu itakuwa na uwanja wake. Kwa sahivi, karibia 20 vinamaliziwa.

Muhimu hapa, ni kuinuwa viwango vya mchezo nchini, kupata mashabiki, kisha vipandishwe hadhi baadaye.
HomaBay
View attachment 2675975
Kisumu
View attachment 2675979
KAKAMEGA
View attachment 2675980
And many more!!

Very old school stadiums..hizi viwanja Tanzania tulijenga miaka ya 70.
 
Imagine with all this problems you mentioned, Kenya is still the richest country in the region, yiu wonder where Tanzania lags behind. there is nothing a Tanzanian can tell a Kenyan
Rich country [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

GDP ndio inakufanya uteme mashudu? Unaelewa maana ya Rich wewe? Hamuwezi kulipa mishahara, hamuwezi kujilisha, 60% of Kenyans including you are living in slums, then where do you get the guts to call Kenya a rich country [emoji1][emoji1][emoji16][emoji3][emoji16][emoji3][emoji16][emoji3][emoji16][emoji3][emoji16][emoji3][emoji16][emoji3][emoji16]
 
Mimi naona neno Rich lina maana nyingine kenya. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Another government initiated project… do private sector even exist in Bongo?…. This means the purchasing power of the population is very weak to attract capital….. almost every major project we post here about Kenya is non governmental whereas everything you guys post ni za serikali… sorry to break this to you but you ain’t leaving LDC list any time soon..
 
Paper based GDP [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaamini kenya inaweza kosa only around $40m kwa bajeti ya zaidi ya $35b kufund huu mradi?? Ukweli huu mradi haukuwa priority kwa serikali iliyopita na si priority kwa serikali iliyopo. Frankly brt haiwezi work Nairobi
 
Another government initiated project… do private sector even exist in Bongo?…. This means the purchasing power of the population is very weak to attract capital….. almost every major project we post here about Kenya is non governmental whereas everything you guys post ni za serikali… sorry to break this to you but you ain’t leaving LDC list any time soon..
Ulitaka high court imilikiwe na private sector? 😂😂😂😂
 
Another government initiated project… do private sector even exist in Bongo?…. This means the purchasing power of the population is very weak to attract capital….. almost every major project we post here about Kenya is non governmental whereas everything you guys post ni za serikali… sorry to break this to you but you ain’t leaving LDC list any time soon..
Hii sio private sector?

When Tanzanias private sector dive into investment it drains the swamp, it hits massively and echoes in miles, PPP zetu sio za kujua kali kama zenu, imagine expressway yetu ni 200+ km, hii PPP SGR ni 1000+ km, jishikilie

Another government initiated project… do private sector even exist in Bongo?…. This means the purchasing power of the population is very weak to attract capital….. almost every major project we post here about Kenya is non governmental whereas everything you guys post ni za serikali… sorry to break this to you but you ain’t leaving LDC list any time soon..
Hiyo ndiyo tofauti ya Tz na Kenya, tz uchumi ni mkubwa sana huwezi kufananisha na Kenya, thus y mnakufa kwa njaa, kila kitu serikali yenu inasubiri investors wafanye na bado inakusanya kodi na haiwezi kulipa hata mishahara, poleni sana Wakenya.
 
Another government initiated project… do private sector even exist in Bongo?…. This means the purchasing power of the population is very weak to attract capital….. almost every major project we post here about Kenya is non governmental whereas everything you guys post ni za serikali… sorry to break this to you but you ain’t leaving LDC list any time soon..
Msenge wewe, elimu yako ndogo sana, unataka mpk mahakama ijengwe na private sector, nyie Wakenya ni majibwa sana.
 
Back
Top Bottom