joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Watu wangapi hadi Sasa wamepigwa risasi na kuuliwa kufuatia haya maandamano ya fujo?(violence?)Haki za binaadamu ziko wapi au ni za africa tu
Wivu tuuno greenery....ugly shit
Sasa ni muda muafaka serikali kulobby wachina waje wawekeze kwenye kiwanda cha kuunganosha au kuunda kabisa haya mabasi au wabongo wenyewe wachamgamkie fursa!!Wanashindana na tanzania bado[emoji28][emoji28][emoji28]
Source???Kesho world bank group watarelease gdp za mwaka 2022 tusubiri tuone
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
mbingu na ardhiNairobi green Park ultra modern, state of art bus terminus 👇View attachment 2673617View attachment 2673618View attachment 2673619vs Dar Magufuli bus terminus 👇View attachment 2673621View attachment 2673637View attachment 2673638wenyewe wanakwambia wako mbele yetu kwa miaka 30 🤣🤣
hahaa nawaona kwa mbaali wanachunguliaHata kwa simu 2000 bado sio fair , hilo ni jalala na washalikimbia 😂 😂
hahaa nawaona kwa mbaali wanachungulia
wako busy na africa na ukreinHaki za binaadamu ziko wapi au ni za africa tu
naona hata ile eastafrica busness hub ipo jirani pale ni kutamu haswa nlikatiza hapo majuma kadhaaSimu 2000 iko connected na Daraja zuri linalounganisha Ubungo BRT Bus stop na Kijazi interchange, Na sasa hivi kunaenda kupigwa BRT Depot pale lakini tayari infrastructure zingine zimenyooka hasa barabara inayunganisha na Sam Nujoma, Ni hatari sana.
***** njia nane soon ubungo hadi morogoro
KO ya nguvu asante sanaWanafikiri wasudani walibahatisha kuja Tanzania [emoji1241][emoji1787][emoji1787]
sikujua hili mkuuKumbe, basi ndo maana BRT phase 3 hadi wana mobile toilet site!! Kumbe ma consultant ni watu serious!!
Ameona aibu, ameamua kusimamisha zoezi la kuongeza mishaharaBado posho hapo bado madili ya wizi hapo[emoji1787]