ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Another area of Nairobi that is on steroids
Nimeitazama mwanzo mpaka mwisho hii video bebu ww tuambie kuna kitu gani hapo cha maana ?? Au kuna nn kipya ?😅😅😅😅
Another area of Nairobi that is on steroids
Ndio maana nikakwambia huna akili wewe na akili zenu mostly zinatoka takoni 😁😁
Mulileta paved road kenya mukatuambia ni 23000 je ilikua ni kweli na hapo ukumbuke tanzania ni mara mbili ya kenya kwa ukubwa
Umeumia sana hupendi kuona mageuzi kama haya😅😅😅
Sasa kama uwezo upo wakujenga shida iko wapi kigoma pekee ujenzi wa barabra unaedelea over 1000km na huo ni mkoa mmoja tu😅😅😅 kwenye swala la barabara hamutuwezi tulishawaambia mapema tuHizo (km) hatukujenga ndani ya miaka 2🤣🤣🤣
dah yaani Kagera ya mwisho? Nshomile vp? hawawekezi vitega uchumi kwao? ChoiceVariable hatujakataa Mbeya imejaaliwa ardhi ya rutuba ila still hicho kipato kinatokana na kilimo na hakija-reflect kwenye hadhi ya Mbeya kuitwa Jiji! Hapa tunachojadili ni suala la mipango miji Wanyakyusa mnatia aibu na mnaharibu jiji lenu! Sasa endeleeni kubisha kama kawaida yenu! Kuna sehemu kama Moshi wana kipato kidogo namba 5 kwenye chati hapo juu ila hata ukienda vijijijni ambapo hakujapimwa unakuta kuna barabara za mitaa za vumbi. Serikali za vijiji zinapanga! Nyie mnashindwa wapi?Malalamiko Yako peleka NBS View attachment 2671425
Hebu tuonyeshe hizo 1000km ndani ya kigoma na pia tuonyeshe hizo 14,000km zilizojengwa ndani ya miaka miwiliSasa kama uwezo upo wakujenga shida iko wapi kigoma pekee ujenzi wa barabra unaedelea over 1000km na huo ni mkoa mmoja tu😅😅😅 kwenye swala la barabara hamutuwezi tulishawaambia mapema tu
Wewe nae ni mpuuzi mmja hivi,Barabara Zote kuu za Kigoma ziko under construction pande zote..Hebu tuonyeshe hizo 1000km ndani ya kigoma na pia tuonyeshe hizo 14,000km zilizojengwa ndani ya miaka miwili
Mapema mwaka ujao mwezi kama huu mtakuwa mnajaza picha za Barabara Kali za Mbeya kuanzia street roads Hadi Highways na taswira itabadilika kabisa.dah yaani Kagera ya mwisho? Nshomile vp? hawawekezi vitega uchumi kwao? ChoiceVariable hatujakataa Mbeya imejaaliwa ardhi ya rutuba ila still hicho kipato kinatokana na kilimo na hakija-reflect kwenye hadhi ya Mbeya kuitwa Jiji! Hapa tunachojadili ni suala la mipango miji Wanyakyusa mnatia aibu na mnaharibu jiji lenu! Sasa endeleeni kubisha kama kawaida yenu! Kuna sehemu kama Moshi wana kipato kidogo namba 5 kwenye chati hapo juu ila hata ukienda vijijijni ambapo hakujapimwa unakuta kuna barabara za mitaa za vumbi. Serikali za vijiji zinapanga! Nyie mnashindwa wapi?
Manispaa kupewa hadhi ya kua jiji kuna vigezo vinaangaliwa.Hivi ilikuwaje Mbeya ikafanywa jiji na sehemu kama Morogoro au Moshi pakaachwa? Kama hotels za kisasa Moshi na Morogoro wana hotel bora zaidi by far! Kama mipango miji, Moshi na Morogoro ni level ya juu ukilinganiaha na Mbeya.
Kama vyuo Morogoro na Moshi wana vyuo zaidi! Kama international schools Moshi na Morogoro wanazo, Mbeya hawana! Kama uwanja wa Ndege Morogoro wana Ngerengere pia na Moshi KIA!
Kama viwanda hata Moshi wanavyo pia vya bia, cha coca cola, vya cement, vya shairi, vya sukari vya ngozi n.k. Morogoro, cooking oil, leather, sukari, sabuni, katani n.n.k.
Sidhani kama Mbeya wana golf course kama Morogoro na Moshi! Mbeya haina hadhi kuwa jiji walipewa hadhi kisiasa zaidi!
Arusha Huwa inatuwakilisha vizuri sana.
Kwaiyo idadi ya shule za sekondali ndio maendeleo ya kutisha?Mbeya ina wakazi 2.3M
Kilimanjaro 1.8M sensa ya mwaka 2022
Idadi ya shule za sekondari Mbeya 211
Idadi ya shule za sekondari Klm 316
Bado tu unaona Mbeya ina maendeleo ya kutisha?
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Arusha Iko vyema kiongoziArusha Huwa inatuwakilisha vizuri sana.
Inawezekana huujui umuhimu wa elimuKwaiyo idadi ya shule za sekondali ndio maendeleo ya kutisha?
Hebu tuonyeshe hizo 1000km ndani ya kigoma na pia tuonyeshe hizo 14,000km zilizojengwa ndani ya miaka miwili
Hebu tuonyeshe hizo 1000km ndani ya kigoma na pia tuonyeshe hizo 14,000km zilizojengwa ndani ya miaka miwili