[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787]Umewahi sikia lini yakafanyika Tabora au.kwenu Tanga?
Ulivyo nyumbu hujui kwamba Serikali imeyageuza na kuwa na ya Kimataifa na yatakuwa yanafanyika Mbeya na Dodoma
Si ndo maana nasema hadhi ya jiji kwa Mbeya ni ya kisiasa zaidi! Morogoro na Moshi kuna hoteli za hadhi haswaa!
Gikomba market...imagine..tz ukiomba aerial view wanatoweka kwa ground ni uswazi poverty tu
Kuna u special upi about 7/7 Dar? Ukipata jibu basi ujue ndio u spesho wa 8/8 pia.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787]
Nothing is special about nanenane
BTW kwetu mimi ni Kilimanjaro, ofcz the most developed region in Tanzania behinds Dar es salaam
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ukienda Moshi utapapenda tu,very smart small town,hotel za maana,maeneo ya kula bata kibao,mitaa imejichora kama mbele ,Huduma za kijamii next levelSi ndo maana nasema hadhi ya jiji ni ya kisiasa zaidi! Morogoro na Moshi kuna hoteli za hadhi haswaa!
Mbeya simkoa wa kilimo kk, sio lazima kila jambo tupambaneKuna u special upi about 7/7 Dar? Ukipata jibu basi ujue ndio u spesho wa 8/8 pia.
Kama ndo mnajenga mwaka huu...na kenya ni nchi ndogo kinoma au can you say you are above Tanzania infrastructure wise...Kama Kenya hakuna mihemko msidhani hakuna miradi.
Mfano. Kuna Mradi wa barabara kubwa toka Garissa hadi Liboi On Somalia border.
Lakini kwanza hii... Toka Isiolo hadi Mandera!!! 850Km Highway pamoja na njia zile ndogo ndogo za kuunga miji midogo midogo.
Already taking shape
View attachment 2670731View attachment 2670732View attachment 2670733View attachment 2670734View attachment 2670735
Hata Moro kuna hoteli za maana Morena n.k. pia soko na Bus stand ya maana! In general more organised kuliko Mbeya! Moshi pia wanajenga bus stand yao!Ukienda Moshi utapapenda tu,very smart small town,hotel za maana,maeneo ya kula bata kibao,mitaa imejichora kama mbele ,Huduma za kijamii next level
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
KAU, KAP KAT, izo zote zilitoka before 2006!!Hizi ni za mwaka gani? 😂😂😂😂
View attachment 2670556View attachment 2670557View attachment 2670558View attachment 2670559
Morena,Nashera,moro Hotel, flomi kimtindo zinawakilishaHata Moro kuna hoteli za maana Morena n.k. pia soko na Bus stand ya maana! In general more organised kuliko Mbeya! Moshi wanajenga bus stand yao!
Jibu hoja wewe mbuzi, umesema hakuna u spesho wa 8/8 na Sasa unasema ni Mkoa wa Kilimo,Na Dodoma ambako 8/8 Itakuwa inafanyika sanjali na Mbeya ni Mkoa wa Kilimo?Mbeya simkoa wa kilimo kk, sio lazima kila jambo tupambane
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Umeona.. ninachosema! Mbeya ni kilimo ambacho hata Moro na Moshi kiko! Moshi pia kuna kilimo cha Kahawa, ndizi na horticulture (maua na mbogamboga) ! Moro wanalima Mpunga pia!Morena,Nashera,moro Hotel, flomi kimtindo zinawakilisha
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Mbuzi mwenyeweJibu hoja wewe mbuzi, umesema hakuna u spesho wa 8/8 na Sasa unasema ni Mkoa wa Kilimo,Na Dodoma ambako 8/8 Itakuwa inafanyika sanjali na Mbeya ni Mkoa wa Kilimo?
Kwanza Mbeya yenyewe unaijua au unaisikia humu jf?
Njoo Utolewe ujinga kichwani 8/8 Mbeya
Wewe shida yako umeishi vijijini maisha yako yoteNjoo Utolewe ujinga kichwani 8/8 Mbeya
Ataanza VP kuyafungua
Atakuja PM
Rais atafunga Maonesho
Na mabalozo wote Wanaowakilisha Nchi zao Tanzania watakuwepo ,nyie si Huwa mnasema Mbeya hakuna hoteli Sasa sijui hao washiriki watakuwa wanalala Juu ya miti au?
Umeishiwa kama kawaida unatafuta pa kutokea 😂😂😂😂Wewe shida yako umeishi vijijini maisha yako yote
Unafikiri Hotel ni jengo tu lenye vitanda na sehemu panapikwa chai basi,pole
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kwanza lazima ukubali Hotel za maana mbeya hakuna...kama unabisha basi ww ndio tatizoUmeishiwa kama kawaida unatafuta pa kutokea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hotel za maana ndio hotel zipi? Wewe unazijua Hotel zote za Mbeya?Kwanza lazima ukubali Hotel za maana mbeya hakuna...kama unabisha basi ww ndio tatizo
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app