Mbeya ni Big No ,hakuna mji apa ni fujo tuNini kimekusikitisha bwana Mkunya
Zile picha za Slums kama za Kibera ya Nairobi ulizitoa wapi? Mbeya yetu Iko namna hii tena just a portion [emoji116]
Hivi ilikuwaje Mbeya ikafanywa jiji na sehemu kama Morogoro au Moshi pakaachwa? Kama hotels za kisasa Moshi na Morogoro wana hotel bora zaidi by far! Kama mipango miji, Moshi na Morogoro ni level ya juu ukilinganiaha na Mbeya.
Hawa ni population na mzunguko wa hela,Hivi ilikuwaje Mbeya ikafanywa jiji na sehemu kama Morogoro au Moshi pakaachwa?
Mbeya ni kubwa alaf mbeya ina population kubwa na ina economy kubwa na pia ni transit hub kwa nchi zambia malawi na congo piaHivi ilikuwaje Mbeya ikafanywa jiji na sehemu kama Morogoro au Moshi pakaachwa?
Barabara za lami zipo na wamejitahidi sana kujenga barabara na wanaboresha zaidiHawa ni population na mzunguko wa hela,
Kwa hela tu Mbeya ipo kutokana na shughuli za kilimo na viwanda...ila kwenye mambo ya planning jamaa hakuna kitu walichofanya hapo...huo mji hata barabara za lami ni chache sana
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Aisee Morogoro bado sana Kua CityHivi ilikuwaje Mbeya ikafanywa jiji na sehemu kama Morogoro au Moshi pakaachwa?
Yani inabidi waweke bidii sana pale...Barabara za lami zipo na wamejitahidi sana kujenga barabara na wanaboresha zaidi
Umemaliza apoMbeya ni kubwa alaf mbeya ina population kubwa na ina economy kubwa na pia ni transit hub kwa nchi zambia malawi na congo pia
Sababu? Urban area yenye vyuo vikubwa vitatu!
Tusichoshane, Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo 8/8 Kitaifa Mbeya..
Hayo hufanywa hata taboraTusichoshane, Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo 8/8 Kitaifa Mbeya..
Na still haina hata hoteli za maana!Mbeya ni kubwa alaf mbeya ina population kubwa na ina economy kubwa na pia ni transit hub kwa nchi zambia malawi na congo pia
Morogoro bado inalegalega...Japo sio haba nimeona kuna barabara za maana zimejengwa maeneo ya viunga vya mji..lakini bado nyumba za kizamani ni nyingi katikati ya mji...hakuna mabadiliko makubwa ...Nature ya wenyeji ndio tatizo sio wapambanaji kivile, same as Dodoma kama sio Government kuwekeza kwa nguvu pale hakuna maajabu yyte tungeyaona miaka bukuSababu4? Urban area yenye vyuo vikubwa vitatu!
Mbeya Hotel ya Maana ni ile ya SuguNa still haina hata hoteli za maana!
Tazama the biggest Market in Kenya...watu wanaosema Tz tupo 50 years Nyuma...Hakuna kuficha tanzania yote ni slum, hii ndo zanzibar ambayo huwa tunaambiwa "best tourist location in africa"[emoji1484][emoji1484]View attachment 2670609View attachment 2670610View attachment 2670611View attachment 2670612View attachment 2670613
Sio vigunguti ni vingunguti wewe nyang'au🤣wewe endelea kukalia mkeka huko spenso vigunguti uswazi mgumu
Umewahi sikia lini yakafanyika Tabora au.kwenu Tanga?