Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dwindling exports, below par tax collections, mountains of debts, government unable to provide social services and pay salaries unataka kuniambia bado kuna growth hapo, Kenya operates a black economy and it has always been.
You keep saying government imeshindwa kulipa salaries, lete evidence kuonesha the problem still persists. This was a one time problem ambayo ilkua sorted. Which social services tumeshindwa kuprovide?? Dwindling exports, below par tax collections, unasema tu vitu huna ufahamu nazo nikikuambia ulete evidence utaanza kuruka ruka kama kawaida yenu.
 
Huyu hapa Stoltenberg alienda off script mwaka jana akielezea vita ni ya nani.

img_1621-jpg.2668093
Mm nawashangaa yani nato wapeleke silaha ukraine bure bure tu 😅😅😅 wamepeleka mpaka wanajeshi wao ukraine yani bure bure tu wanatoa na pesa kibao alaf mtu hajui russia anapigana na nani?
 
Mkuu , nadhani inatosha sasa . Alikuwako Mwalimu Nyerere alikuwa na Moyo wa dhahabu, aliwasaidia mataifa ya SADEC wakiwemo hawa wapumbavu sana tena kwa kiduchu kilichokuwepo wakati huo, Jambo hili liliturudhisha nyuma mno kiuchumi, kama vile ile East Africa Union miaka ile ya kina Charles Njonjo na Jomo kenyata the chief Founder of Land Grabbing and public property looting, sasa tunaona namna hizi takataka kama za Zambia zisivyokuwa na shukrani. Kwa sasa kila mtu apambane na hali yake. Uwanja wa utopolo uitwe hata kwa Jina la Professor Janabi au hata Mzee Mpili Stadium au Mama Samia Stadium . Potelea pote
Je sababu ya wao kuita keneth kaunda unaujua bro??
 
You keep saying government imeshindwa kulipa salaries, lete evidence kuonesha the problem still persists. This was a one time problem ambayo ilkua sorted. Which social services tumeshindwa kuprovide?? Dwindling exports, below par tax collections, unasema tu vitu huna ufahamu nazo nikikuambia ulete evidence utaanza kuruka ruka kama kawaida yenu.
It is an ongoing thing for civil servants to miss salaries it has not started recently it has been there throughout the previous years.

Recently, judges threatened to down tools due to May salary delay.

Soma waziri wenu explicitly ana mention underperforming revenues.

Back
Top Bottom