ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Mkuu, hili jambo sio la kulidharau, ni jambo kubwa Sana kwa uongozi wa Putin, Yale Yale ya Sudan, ndiyo yanajitokeza Urusi.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sawa tusubiri mm ntakukumbusha tu 😅😅
Ndio maana nacheka sana 😁😁😁😁


