joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Unajua ninakushangaa Sana, sijui unaishi Dunia gani mkuu, vyombo vyote vya Magharibi vinafuatilia na kutangaza hili tukio, wewe unasema wamenyamaza, unataka wafanye nini Ili ujue kwamba wanafuatilia?Mm nilicheka mwanzo ni kakuliza wagner na je ww uko serious![]()
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

