Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wamepewa hela na Wazungu?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Unapofanya uhasi wa namna hii ni lazima uzingatie mambo makuu kadhaa ya muhimu kabla ya kufanya:

1. Logistic support: hapa ni hela, vifaa, chakula, dawa, nchi ya kukimbilia makamanda plan ikifeli.
2. Manpower: Wanajeshi wa ziada.

Huwezi fanya rebellion yeyote ya kijeshi bila kwanza ya kupata uhakika ya mambo hayo juu.

Mapinduzi yasiyoitaji hayo hapo juu, ni mapinduzi ya wakuu wa majeshi walio na support ya kuungwa mkono na Brigades na Divisions karibia zote za nchi kama ilivyokuwa kwa Uganda, Egypt. Nje ya hapo ni lazima zipigwe vibaya mno kama ilivyo Sudan.
 
Mbona hawakupewa pesa wakastopisha vita ukraine?? Mbona wamechapa ukraine nje ndani ?? Au mbinu za kivita ww huzijui
Wasiwasi wangu ni kwamba, kwasababu Kila kitu kawaida mnasingizia wazungu, ninajaribu kuweka angalizo mapema, msijekusema kwamba Wazungu ndio waliofanya mpango wa kuwagombanisha warusi wapigane wenyewe kwa wenyewe.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wasiwasi wangu ni kwamba, kwasababu Kila kitu kawaida mnasingizia wazungu, ninajaribu kuweka angalizo mapema, msijekusema kwamba Wazungu ndio waliofanya mpango wa kuwagombanisha warusi wapigane wenyewe kwa wenyewe.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mbinu chafu za ulimwengu huu zinaanzia kwa wazungu hata ukikataa ndio ukweli huo vita vyote nchi za kiarabu wao ndio chanzo au unataka kubisha pia 😁😁😁 sio wao waliwakanyaga wajapan na nuclear alaf leo ndio wamewatia ujinga hawajitambui hao wajapan wenyewe au unataka hilo kukataa

Mm hua nawaambia siku zote adui wa amani duniani ni mzungu ni mtu mbaya kuliko shetani munaomuonea nyinyi 😁😁
 
Mbinu chafu za ulimwengu huu zinaanzia kwa wazungu hata ukikataa ndio ukweli huo vita vyote nchi za kiarabu wao ndio chanzo au unataka kubisha pia sio wao waliwakanyaga wajapan na nuclear alaf leo ndio wamewatia ujinga hawajitambui hao wajapan wenyewe au unataka hilo kukataa

Mm hua nawaambia siku zote adui wa amani duniani ni mzungu ni mtu mbaya kuliko shetani munaomuonea nyinyi
Hahaha, mawazo ya kushindwa na kukata tamaa hayo, hakuna mtu anaweza kukusaidia, endelea kufuatilia mambo yalivyo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ukweli huu hapa, achana na hizo twittes

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Hii ni siasa za vita kaka ndio maana huoni hata wazungu wakishangilia coz wanajua ukweli 😅😅😅😅 ndio maana mwanzo nilicheka nikakwambia uko serious

America ilifanya siasa ya vita kwa kutungua majengo yake septermber 11 ili waseme ni ugaidi wa osama ili wapate sababu ya kuvamia afghanistan wakiwa wana malengo yao wao 😅😅😅 ni akili kubwa tu kujua haya
 
Back
Top Bottom