ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,262
Goal post shifting in actionThat’s part of military exchange program, similarly to our Kenya Military Academy which also has Tanzania officers... But i meant the Defence University…. One and only of its kind View attachment 2661955in the region… different in depth …




Dar haina lami kwenye estates na makaazi labda udanganye wasioijua dar. 80% ya dar ni uswazi na lami zinahesabika.. Nairobi hadi kibera ina pavements

unajua haya mambo ya mitandao, isiwe tuna debate na watoto wa primary school humu! maana akili zingine yani hata mimi sielewi!Wewe msenge hivi una elimu kweli wewe?
Hawa wanatakiwa washikishwe adabu
sawa sawa! nchi hii tunabishana kwa hoja! kila mtu anatoa na kuongea kwa uhuru mtandaoni. siasa za kuiga hautaki hapa! washugulikiwe vizuri!Hawa wanatakiwa washikishwe adabu
Serikali na Bunge wamesema milango Iko wazi watu waendee kutoa maoni mahala kwenye shida marekebisho yatafanyika uzuri mikataba ya utekelezwaji Bado Sasa vurugu za nini mtaani?sawa sawa! nchi hii tunabishana kwa hoja! kila mtu anatoa na kuongea kwa uhuru mtandaoni. siasa za kuiga hautaki hapa! washugulikiwe vizuri!
Wao wenyewe wanajua na ndiyo maana 90% ya picha zao ni lazima wa edit kabla ya kupost, hakuna picha ya ka Nairobi imewekwa humu bila make upAcha uwongo…pale tu Westlands kwenye junction ya kuingia Westgate Mall kuna stendi ya vidaladala vipanya ni ya vumbi….Nairobi imejaa stendi za daladala za vumbi kila kona kitu ambacho Dar hakuna stendi za minivans yenye vumbi pia hizo matatu zao ni mbayaaa kama umetoka TZ huwezipanda maana unaweza pata tetenus humo ndani ni kama zile chai maharage za miaka ya 90 zilizokuepo TZ na majority ya daladala za Nairobi ni vipanya ambavyo Tanzania tuliacha kutumia miaka zaidi ya kumi iliyopita…Nairobi imejaa vumbi wajameni…nimetoka huko juzi![]()





Sio ninyi mnaosema watanzania hawawezi kuandamana?, Hivi Sasa unasifia watanzania kuandamana. Huku kwetu hakuna kuiba vitu vya watu Wala kuchoma magari, kamwe polisi hawapigi watu risasi, wanakamata kwa ustaarabu sana, wanawake hukamatwa na polisi wakike, hakuna kupigana hovyo.