Ongeza sauti kidogo sijasikiaNa competition yenyewe eti kutoka Rwanda na Angola
Blaa blaa nyiiingi wakati hawana pesa, Bajeti yote ni kulipa debt![]()



Hawajasema Museven yupo Nairobi Hospital anatibiwa COVID-19?Hvi wakenya hua munamatatizo gani



ile watu wa huku nao waamke Mbeya needs serious investments! si mambo ya kujenga vibanda sehemu hakujapimwa! Yaani mji/Mkoa una kila kitu TAZARA, barabara bomba, songwe Airport na mpaka bandari lake Nyasa ila hupati 4 star hotel facility! wanyakyusa waache majigambo washushe vitu vya maana!Hapa najua itajengwa barabara ya kiwango cha hali ya juu sana...Wakazi wa Nyanda za juu kusini sasa nao watatamba ,wasisahau kufunga taa tu unyama uwe mwingi
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
usirudi na bed bugs tu!Mtz nipo nazurura Nairobi…wakenya acheni uwongo uwongoView attachment 2660261
Alooh icho kipengele kinahitaji motisha haswa...ile watu wa huku nao waamke Mbeya needs serious investments! si mambo ya kujenga vibanda sehemu hakujapimwa! Yaani mji/Mkoa una kila kitu TAZARA, barabara bomba, songwe Airport na mpaka bandari lake Nyasa ila hupati 4 star hotel facility! wanyakyusa waache majigambo washushe vitu vya maana!
Congratulations, can you please update us on SGR progress from where it ended to Malaba?,the long awaited bridge inaenda kuisha.Mombasa railwayView attachment 2660312View attachment 2660313
Kiboko yenu ni hii Samia Housing 👇
the only place you can compare dar's best neighbourhood is kibera.....hehehe...kweli mumeishiwa....i know you cant even dare compare with eastlands because it will outshine your uswazi hovels
Ukiangalia vizuri wanapewa priority kinoma ila ndo hivyo!
Akirudi tag me plzCongratulations, can you please update us on SGR progress from where it ended to Malaba?,
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app



How many passengers or tones of cargo has your train moved so far🤣🤣Congratulations, can you please update us on SGR progress from where it ended to Malaba?,
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huyu sasa mtanzakundu wa kumi huu Uzi kuja Nairobi, kwani huko bongo hio ndo ndoto yen u🤣🤣🤣Mtz nipo nazurura Nairobi…wakenya acheni uwongo uwongoView attachment 2660261
Bed bugs zipo huko kwenuusirudi na bed bugs tu!