Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila Sasa sijakuelewa Waziri anasema njia Moja itakuwa maalumu Kwa Malori na nyingine Kwa magari ya Kawaida mpaka hapo kutakuwa na driving ya opposite lane kama ilivyo Sasa,huu ni upuuzi..

Bora mchanganyikane ila mna drive kwenye dual carriage sio kwenye single carriage

Huyu waziri nae ana uchizi sasa , kama ni njia nne ziwe nne, One way, problem solved once for all.
 
Hamna uwezo ninyi kununua mahindi toka Mexico. Juzi waziri wenu wa kilimo alilalamika kwamba Kuna "competition" kubwa Sana ya kupatikana kwa mahindi duniani kwahiyo serikali ilishindwa kuyapata.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Na competition yenyewe eti kutoka Rwanda na Angola 😁😁😁

Blaa blaa nyiiingi wakati hawana pesa, Bajeti yote ni kulipa debt 🤪🤪
 
Wakiambia ukweli wanakasirika nafasi ya watu 100 wanakwenda watu zaidi ya 10000😅😅
 
Bro, most of them got that black gold, the threat to the west is real.
My friend all these countries have small economies save for China hivyo hakutakuwa na meaningful business between them. USA , Europe, Japan na other allies control over 60% ya world economy.

Ili uweze ku survive kiuchumi lazima ufanye nao biashara tuu na lazima utanunua dollar tuu.
 
Mtz nipo nazurura Nairobi…wakenya acheni uwongo uwongo
IMG_7369.jpg
 
Back
Top Bottom