Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwan sport pesa ni ya kenya ?? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… au kila kizuri duniani ni chenu
Sportpesa ilianza Kenya, unafikiri hilo neno pesa ni la wapi. Sa hii imekua global brand ndo maana wana register Kama kampuni tofauti katika kila nchi wanahudumu. Ingia kwa website yao joto la jiwe
 
Sport pesa ni kampuni kutoka uk na HQ yake iko liverpool mbuzi wewe na wawekezaji wakubwa wa sport pesa ni waingereza kenge wewe na imewekeza nchi nyingi sana mpaka south africa wapo kenya na tanzNia alsoπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mkuu, kwani tatizo ni management pekee?.
1)Mtaji
2)Utaalamu
3)Network
5)Experience

Hawa DPW wanamiliki zaidi ya Meli 500 za mizigo zikizunguka Dunia nzima kufanya biashara, Wana mtandao mkubwa Sana wa biashara.

Mkuu, hivi mbona hujiulizi inakuaje team zetu za mipira barani Afrika zinafundishwa na wageni?.

Mkuu, hapa Tanzania wafanyabiashara wakubwa 10, unaweza kukuta sisi waswahili ni wawili au mmoja. Afrika Migodi yote mikubwa na miradi yote mikubwa ya Ujenzi inaendeshwa na wageni, Why?.

Leo hii waafrika wakishindwa kutibiwa Afrika wanaenda kutibiwa hukohuko, hasa viongozi. Wasomi wetu bila kwenda kupata Elimu nje ya Afrika, bado wanaonekana hawajasoma vizuri, mashine na mitambo yote inatoka nje.

Mkuu tuache kujitutumua na kujipiga kifua, kwasasa Afrika bado sana, lazima tuweke juhudi za makusudi tuweze kujitegemea ktk technology na kujisimamia, lakini kwasasa tusijidanganye.
 
Guardian newspaper kutoka England, link pia ndo hii nakupa. Hio ni sportpesa UK Kama vile kuna sportpesa Tanzania. Parent kampani ilianza kenya na franchise imeuzwa nchi sita. How gambling giant SportPesa made waves in Africa – and Premier League
 
Peleka upumbavu wako mbali, tangu lini neno pesa likawa la Kenya msenge wewe.
 
Watanzania sisi 80% ya work force ni underperformers! Sio serikali wala sekta binafsi!!
Hali ya utendaji wa kazi na kupata desired results ni ngumu sana nchi hii!
Kusema ukweli kwa muda mrefu nimekuwa nikiwaza juu ya serikali kushirikiana na private sector kwenye ku-run/ku-manage baadhi ya mashirika na taasisi za umma ili kuleta ufanisi in a win-win situation. Kwa hiyo kwangu mimi Kuwapa DP-World kumanage shughuli za bandari zetu (as long as they have a good proved record in the sector) sio jambo baya wala jipya ila tatizo la sisi watz na waafrika kwa ujumla ni mikataba ya hovyo na ya kinyonyaji ambayo nchi zetu zinaingia na hawa private sector tena wengine ni incompetent kabisa/wababaishaji.

Natamani kuona mashirika ya umma kama DART, TRC, Tanesco, na mengineyo yakiingia ubia (partnership) na private sector kwenye ku-run/ku-manage the business part ya hayo mashirika in a win-win situation. Serikali ilishaacha kufanya biashara na pale serikali inapolazimisha kufanya biashara hzi taasisi au mashirika mara nyingi kama si zote huwa ni hasara tu au faida kiduchu sana. PPP ikiwekewa utaratibu mzuri mi naona ndio njia pekee ya mashirika na taasisi zetu zinazofanya biashara zinaweza kukua na kuchangia vizuri kwenye pato la taifa otherwise kila siku tuatakuawa tunaona madudu tu kwenye riport ya CAG.
 
Na ndio maana nakwambia sport pesa imewekeza mpaka south africa kenya na tanzania pia usiniambie sport pesa ni ya kenya wakat ni kampuni kutoka nje iliofanya investments nchi za africa 😁😁😁

Usilazmishe mali ya watu kua yenu na hii tabia kama hamutoacha lazma technology itawaumbua ndio maana kila siku munaumbuka kwa ujinga tu
 
Eti hilo neno "pesa" la wapi

Mungu wangu! Naishia hapo hapo!

Wakenya tunaopigishana nao humu ndani IQ yao no ndogo sana. Yani mpaka najisikia kuachana na huu uzi.[emoji2961]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…