Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahahah! eeh mkuu, nitajitahidi

nimezaliwa 2004, hahahahahahah
 
Tatizo lenu ni kwamba mko docile. Mnapelekwa Kama kondoo, badala kufanya activism kazi yenu ni kushindana Kati ya diamond na Ali kiba nani mkali[emoji706][emoji706] I
Unataka tuchome maduka ya watu na nyumba za ibada kama nyie mlivyofanya ?
 
Huyo nae ana ubishi wa ajabu sana. Hela nyingi zimepigwa na wakina Kadogosa kwakua wale Eurowagons walitakiwa kuzifanyia marekebisho ziwe kama hizo pichani, walipochelewa na Magufuli kafa, fasta wakachukua tenda na kufanya uhuni wa kuleta wagons ambazo ndani wires zinaning'inia.
 
Hahahahah! eeh mkuu, nitajitahidi

nimezaliwa 2004, hahahahahahah
Kama ningeanza mapenzi pale nilipobarehe tu ningekuwa na mtoto kama wewe japo ni ngumu sana, itoshe kusema mm ni uncle wako au big brother kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…