Endelea kuota🤣This town of Isiolo ndio kama the overrated dodoma ....if there's one overrated country it's tanganyika View attachment 2651868
Nimesoma robo tu ya ulichoandika, wewe hujasoma bei ya kukarabati "the contract worth 26.6 million Euros." ~ The Citizen.co.tz"Mkuu mbona sikuelewi?, nahisi Kama unalalamika Sana bila sababu za msingi. Sababu za kuvunja mkataba zimeelezwa wazi kwamba hilo kampuni lilishindwa kutekeleza kipengele Cha kumaliza kazi kwa wakati, Sasa hapo Kuna shida gani?.
Kuhusu hayo mabehewa yaliyoletwa, ulitaka yaweje mkuu?, Kwa hiyo bei ya $26M kwa mabehewa 30 ya ghorofa na vichwa viwili ni bei nzuri sanaaa, hakuna haja ya Kulalamika
1)Kila behewa linabeba watu 140, hii ni mara mbili ya hizi behewa mpya tunazotengeneza toka Korea
2)Wastani wa Kila behewa Moja la ghorofa lenye kubeba watu 140 ni $630K, wakati wastani wa gharama za behewa Moja toka Korea lenye kubeba watu 75 ni $850K. Ukipiga hesabu kwa idadi ya abiria, hii Ina maana kwamba behewa Moja la ghorofa gharama yake ni $315K vs $850K behewa za Korea.
Mkuu, kukosekana kwa TV na sehemu za kuchaji simu, ni mambo madogo Sana ukilinganisha na bei tuliyonunulia.
Wacha Kuongea nya we mwehu. Here is DODOMA's old city center 👇This town of Isiolo ndio kama the overrated dodoma ....if there's one overrated country it's tanganyika View attachment 2651868
isiolo tu...nothing newWacha Kuongea nya we mwehu. Here is DODOMA's old city centerView attachment 2651885View attachment 2651886View attachment 2651887
mwaiofhawaii 🤣🤣 kula chuma hicho 👇
mwaiofhawaii 🤣🤣 kula chuma hicho 👇.
No uswazi in DODOMA Bro .. tena kwenye hiyo government city ndio usahau kabisaaNot bad at all…. But Uswazi will still be the dominant force in Dodoma… ama unakataa?
Unaumia ukiwa wapi.?isiolo tu...nothing new
Hamjawahi work silently nyie ni waropokaji baadaye miradi inawaumbuaWhat Tanzanians are making noise about is being done in satellite towns like Juja without much noise....I like how Kenya works silently. View attachment 2651397


Hakuna uswazi in DODOMA, this street is some km away from DOM government city 👇Not bad at all…. But Uswazi will still be the dominant force in Dodoma… ama unakataa?
the signature uswazi hovels of tanganyika....Not bad at all…. But Uswazi will still be the dominant force in Dodoma… ama unakataa?
Dah! We jamaa muongo sana yani Naishi dom kuna kitaa kinaitwa Makulu ni takatakaHakuna uswazi in DODOMA, this street is some km away from DOM government city 👇
View attachment 2651894
Dom bado sanaaa ni vile iko over aired tuNo uswazi in DODOMA Bro .. tena kwenye hiyo government city ndio usahau kabisaa
Hayo matakataka yenu huku hatufuatilii.Another World Record by Faith Kipyegon!!!!!!wow wow wow!!!!!…. 5000m….. she’s on![]()
!!!!
You are entitled to your own opinion but not your own facts… I bet Faith Kipyegon or Eliud Kipchoge’s is well known in Bongo than any of your Footballers who are unknown in Kenya…even your President knows Kipchoge but ours can’t mention any sports person from Bongo… put respect on it!Hayo matakataka yenu huku hatufuatilii.