Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hongera mkuu, ni maneno mazuri ya kujipa moyo [emoji122][emoji122][emoji122][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwani takwimu si zinaongea mkuu au nimekosea kitu?

CAF ranking Simba 35 points Yanga 21 points.

Position Simba 8 Yanga 21
 
African super league ni chaguo wanafanya tu sio kwamba wanaangalia sana ubora wa team sio kweli na bahat nzuri yanga wameombewa nafas pia[emoji28][emoji28][emoji28]
Mbona asichaguliwe singida big stars achaguliwe Simba? Nafasi za African Super League zina reflect club strength kwenye ukanda husika na sio kuombewa mezani huo ndio ukweli mchungu [emoji16]
 
Mi sina kinyongo na mafanikio ya Yanga ila hii ya kutumia ndege za ATCL kwaaajili ya ligi za ndani, haiko sawa.

Hata hivyo, Simba tulishafika fainali mwaka 1993, kuna jitu lilikuwa linaitwa Lizozo lilitufanyia kitu mbaya sana Taifa.
 
100%[emoji123][emoji123][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ