The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Yusuph anaharibu timu ana ushkaji mwingi uongozi mzima mbovu na kali wamuondoe kabisa paleMbona kwenye biashara nyingine anafanya vizuri tuu.. Hii ya mpira inakuwaje?
Kwenye media kaweza kukamata ligi hapa na kwa majirani ila timu yake inasua sua
[emoji1787][emoji1787][emoji16] hii list ya Tz au Kenya . Kwenye showbiz na entertainment hatuna mshindani. Nataka siku moja kwenye soka tuwe na wale ultra fans waone moto wetuMashakahola asanteni kwa ukarimu wenu [emoji28][emoji28][emoji28] actually talent doesn't know bounderies, ninyi hamna talents ndio maana your hearts force you to seek from Tanzania [emoji23]View attachment 2645486
Uwache upuzi wakuokota tweets kutoka kwa chokoraa wa twitter. Hapa Jf tunaenda na factsπ¨
Umeuliza nini twawauzia umejibiwa makelele ya nini[emoji1787]Only vitunguu. Matunda mengi tunaexport kuwaliko. Horticulture in general tuko vizuri kuwashinda
So, you have decided to kill every sector of your economy because of your stupidity?Uwache upuzi wakuokota tweets kutoka kwa chokoraa wa twitter. Hapa Jf tunaenda na facts[emoji375]View attachment 2646528
Pamoja mimi sio shabiki wa Azam , lakini kuna kipindi walisema kocha Idi cheche anahujumu mpaka kafikuzwa . Sasa kosa la kali ni lipi? Hizi tuhuma bila evidence simu watasema na yusufu afukuzweYusuph anaharibu timu ana ushkaji mwingi uongozi mzima mbovu na kali wamuondoe kabisa pale
Kali hana cheti cha kuwa kocha mkuu pale azam bado anasoma kali na Yusuphu ni washkaji since kitambo kwahyo yusuph anafosi sana ile timu iwe chini ya kali kwahyo kocha yeyote atakaye kuja pale lazima aelewane na kali tofauti na hapo figisu nyingi nyingi unaondoka .Pamoja mimi sio shabiki wa Azam , lakini kuna kipindi walisema kocha Idi cheche anahujumu mpaka kafikuzwa . Sasa kosa la kali ni lipi? Hizi tuhuma bila evidence simu watasema na yusufu afukuzwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!! Kama kweli basi ni tatizoKali hana cheti cha kuwa kocha mkuu pale azam bado anasoma kali na Yusuphu ni washkaji since kitambo kwahyo yusuph anafosi sana ile timu iwe chini ya kali kwahyo kocha yeyote atakaye kuja pale lazima aelewane na kali tofauti na hapo figisu nyingi nyingi unaondoka .
Kabla hajaja yule Msenegal cheti kinachotambulika tff kocha mkuu ni cadena lakini kiuhalisia timu ipo chini ya kali
Kuna undugulization hakuna sense of belonging hawana shida na mafanikio wapo wapo tu kama vile totenham ya uingereza kama conte alisema ile timu ni kama tradition Basi kwa Azam nadhani pia ni tradition vile vile wameridhika
Rudi hapa utuambie renovation ya embu 476m ksh iko wapi π π π πUwache upuzi wakuokota tweets kutoka kwa chokoraa wa twitter. Hapa Jf tunaenda na factsπ¨View attachment 2646528
$56m 2003 sahii ni pesa ngapi?Uwache upuzi wakuokota tweets kutoka kwa chokoraa wa twitter. Hapa Jf tunaenda na factsπ¨View attachment 2646528
On top of that Kuna waalimu zaidi ya 13,000 wanaendelea kuchujwa Ili waajiriwe ,mambo ni π₯π₯
kabisa kaka, huu ni ujinga huu na matumizi mabaya kabisa[emoji706][emoji849] ushabiki umezidi,Yanga sio Timu ya Taifa
Mama Yanga huyu, anatumia tuu mwanya wa mafanikio ya timu, au itakuwa "order" ya yule jamaa.π ushabiki umezidi,Yanga sio Timu ya Taifa